Home
Unlabelled
News alert: Ex-Libyan leader Gaddafi killed
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee mpiganaji wamemtoa roho..loh nasikitika sana. RIP COL. GADAFI we will always remember u. Ulikua msaada mkubwa! Waroho wa mafuta MUNGU atawalipizia mwenyewe!
ReplyDeleteSad!Very sad News!
ReplyDeleteKwa ufupi Gaddafi zimemnukia. Kilichobaki sasa watu wenye mipango ya kulipiza kisasi waanze kuitekeleza!!
ReplyDeleteJews
ReplyDeleteMwenyezi mungu mkubwa, mungu amlaze mahala pema amin, JOGOO LA AFRIKA na tutakukumbuka na walibya watajuta mbeleni ....alikuwa kiongozi alokuwa akijali watu wake na misaada mikubwa kwa bara zima la afrika ,
ReplyDeletenikiongozi alokuwa akijivunia uafrika wake, mataifa ya magharibi watatumaliza kama hatukuwa makini
Bad news to me and all really African,but libya lazima watamkumbuka huyu mtu
ReplyDeleteR.I.P Gaddafi
Poleni CCM. Pole maalumu kwa Benard Membe! Sasa itakuwaje kuwatambua NTC?
ReplyDeleteAlisema hatoki labda kwa kifo.... Oh well.
ReplyDeleteHuyu mjamaa kwa asilimia kubwa nadhani amejiua mwenyewe, hawezi kuwaachia ushindi NATO kirahisi rahisi hivyo.
ReplyDeleteRIP Col Gaddafi siku zote tutakukumbuka.
Haya kazi kwenu Walibya mmesahau mema yote aliyo wafanyia. Sasa hiyo demokrasia isubirini daima mtakumbuka misri. Very sad News to me Shikaji alikuwa na msimamo kafa kishujaa. lest in peace Muammar.
ReplyDeleteWananchi wa Libya siku moja mtalia sana na mtamlilia Gaddaf na msimwone,msifikiri hao waliowasaidia kumuua wanawapenden sana!La hasha,wana lao jambo! Ulale Pema Peponi.
ReplyDeleteVery sad news RIP COL. GADAFI
ReplyDeleteOh!Maskin !Ole wenu wana Libya! Siku moja mtalia na kusaga meno,nyie shangilien tu kwa sasa!mmekwisha!
ReplyDeleteinna lilah wa inna ilaihi rajiun...makafiri M/Mungu awalaani na hasa hao wanajiita wamarekani na vibaraka wao. mungu amsamehe gaddafi madhambi yake na ampanulie kaburi lake na amfanyie wepec ktk njia ya siiratul mustaqiima...inauma kuuawa bila sababu ya msingi.
ReplyDeleteMwafrika utaendelea kudhalilishwa mpaka utakapojitambua.
ReplyDeleteNi fundisho kwa watawala wa Kiafrika na viongozi wao wanaoiba na kufikiri kuwa watakula hizo pesa kwa furaha. Jifunzeni ninyi mnaotuibia na kudhani kuwa mtafaidi. Mungu hataruhusu mu-enjoy jasho la wenzenu. Wengine mtakufa kwa Ukimwi, wengine, blood pressure, wengine kisukari..na wengine mtadondoka tu bila sababu kwavile Mungu hapendi huo mchezo wenu.-Mdau, USA
ReplyDeleteafrika tutakukumbuka kwa misaada yako kila kona ya nchi za afrika kuna mashule yenye majina yako yote ni misaada yako
ReplyDeletekweli kizuri hakidumu mungu akulaze pema peponi ameen
nyie hapo juu mnaomlilia gadaffi mmesahau kwamba huyu ndiye kiongozi aliyekuwa anamsaidia kijeshi nduli idi amin wakati nchi yetu ikiwa vitani..mnakumbuka wale mateka wa ki-liby awaliokamatwa na majeshi ya tanzania wakimsaidia nduli kule uganda ? Acheni hizo...Gadafi alikuwa mkabila na mbaguzi mkubwa sana aliwabagua walibya katika hali ambayo kwa nchi ya Tanzania ni kitu hakikubaliki kabisa...rest in hell (RIH) gadafi
ReplyDeleteMipango ya nchi zilizoendelea kujichukulia mafuta. lakini tukumbuke amani haitakuwepo maaana kila mtu ana silaha, uroho wa madaraka sio muda mrefu wao wenyewe wataanzishianza vita nyingine. MUNGU ibariki tanzania tuendelee kuwa na amani.
ReplyDeleteGADAFI HAKUWA KIONGOZI MZURI.
ReplyDeleteILA HAYA MAPINDUZI YALIYOTOKEA LIBYA, TUNISIA NA EGYPT MSIFIKIRI YATALETA DEMOCRASIA KAMA TUNAVYOFIKIRI ILA HIZO SERIKALI ZITACHUKULIWA NA KUTAWALIWA NA WAISLAM WA SIASA KALI AMBAO WANAMISINGI INAYOTOKA KWENYE QURANI NA SHARIA LAW AMBAYO INABAGUWA DINI NYINGINE.
UTAWALA UTAKAOFATA UTAKUWA MBAYA ZAIDI KWANI UTAKUWA NI WA KUBAGUWA WAKRISTO NA WASIO WAISLAM HAITOISHIA KUWABAGUWA ILA KUWATUMIKISHA KAMA WATUMWA NA KUWAUWA KAMA WASIPO BADILI DINI ZAO NA KUWA WAISLAM.
SIO MAFIKARA BALI QURANI NDO INAVYOWAAMBIA HIVYO NA MISKITINI NDIO WANAVYOFUNDISHWA TUNACHEKANAO LAKINI WANALAO KICHWANI. TANZANIA TUJIANDAE NA SISI .
Sign of Dictatorship:-
ReplyDelete1- Kuongoza Jamii kwa ujinga.
2-Kuwapumbaza wananchi
3-Kuwatetea Mafisadi wa nchi
4-Kutumia mali ya Umma ovyo ovyo
5-Kusafiri na idadi ya watumishi wengi nje na ndani ya nche
6-Safari za mara kwa mara
7-Kuongea upuuzi
8- Kuingilia Idara za Maafisa wengine
9-Kuwazarau Viongozi wengeni
9-Kuteua watu wa kabira lake au dini yake
10-Watoto wa Dictator kuwa na pesa nyingi na nguvu kubwa, kuwa juu
11-Kutolipa madeni ya mikopo ya bank
12-Kuwafunga baadhi ya wasanii na viongozi wengine kwa kulipiza kisasi
13- Kuwa na nyumba ndogo nje ya nchi
Na mengine mengi!!
Hizi ndizo dalili za Gaddafi, Idi Amin, Sese seko, Chavez, Castro, Mugabe, Museven na Wengine wengi watafuata kama Saad
baaba ya kifo cha kamanda watajua
ReplyDeleteukweli kuwa walikuwa wanatumiwa na wajanja. kwetu sisi wazalendo wa afrika hatukuona kisa kikubwa cha libya kumwaga damu namna hii.
Emmanuel Rutagonya
masikin libiya
ReplyDeleteAma kweli yametima maandiko ''Kila aangamizaye kwa upanga naye ataangamizwa kwa upanga''.
ReplyDeleteGadaffi alipindua serikali naye leo kapinduliwa na wananchi wake aliowatukana ''RATS''.
Naomba niulize swli moja tu ambalo mheshimiwa mmoja alihoji: Hivi inawezekana kupindua nchi kwa "Pick Up Truck"
ReplyDeleteHivi hii dunia imekuwaje??? All this blood shed will come back and haunt all of us! E Mola tunusuru
ReplyDeleteMsimtetee huyu dikteta ambaye alishiriki katika kutumamajeshi uganda kuja kumsaidia Iddi Amini na kuwaua ndugu zetu.Acha afe kabisa mbwa huyu,hakuna huruma hapa,na huu ndiyo mwisho na fundisho kwa madikteta wote pamoja na mafisadi na ccm huko Tanzania
ReplyDeleteRIH> Ghaddafi.
mdau Japan.
O...I...L
ReplyDeleteThat dark stuff is a curse
...baadhi ya wachangiaji humu hawna akili kabisa.....
ReplyDeleteGadafi kafanya na kawafanyia watu wengi mazuri zaidi ya ubaya wanao mtuhumu.
Kajenga nnchi yake na kuwapa maisha bora wananchi wake na leo wametumiwa kumuua....BUT WATAJUTA SANA.
MAISHA YA BURE WALIOKUWA WAKIPATA...HAWATAPATA TENA.....WATALIA SANA NA WATAUANA SANA.
REST IN PEACE.......COL.GADAFI.
WE WILL ALWAYS REMEMBER YOU, ALWAYS. RIP.
FUCK USA AND ALL THOSE WHO LIVE IN THERE...
jamani watanzania wenzangu leo nimelia mpaka macho yamevimba,mtu ametawala miaka 42 akiwalinda ndiyo kifo chake namna hii?walibya gaddafi mtamkumbuka milele,mungu amlaze pema pepoponi.
ReplyDeleteWEWE MDAU UNAESEMA UDINI HAPA HUNA LOLOTE UNALOLIJUA ISIPOKUWA KANISA NDIO LINALOKUFUNZA HIVO MBAGUZI MKUBWA WEWE.HAPA TZ MMETAWALA MIAKA 50 LAKINI HAKUNA KIMOJA KILICHO FANYIKA ZAIDI YA UFISADI.DINI YA KIISILAMU NI DINI MOJA ISIYO NA UBAGUZI NA WALA HAKUNA MAANDIKO KTK QURAAN YANAYO SEMA KUMLAZIMISHA MTU KUINGIA KTK UISILAMU.WACHA KUBWATUKA KITU USICHOKIJUA NA KUPANDIKIZA CHUKI.KAMA NI NCHI YA KIISILAMU KWANINI IFUATE SHERIA YA KIKIRISTU.WAACHE NA NCHI ZAO NA DINI ZAO MALIZA KWANZA YALIYOKUWEPO HAPA.TUNAMATATIZO MPAKA VICHWA VINATUUMA KWA SERIKALI YA KANISA JINSI INAVO KANDAMIZA WANANCHI.NCHI MPAKA INAUZWA KWA WAGENI NA SISI WANANCHI TUNAFUKUZWA ILI TUWAPISHE WACHUKUE ARDHI YETU.WEWE BADO UPO KTK ULIMWENGU WA KUPENDELEA DINI NA SIO UTAIFA NA KUFANYA WATU MASIKINI WA KUTUPWA WAKATI NCHI TAJIRI.
ReplyDeleteKWETU BINAFSI PIA:
ReplyDeleteJamani hili ni fundisho kwa hata watu wa kawaida pia na sisi tunaosoma hapa sasa hivi. Watu wenye roho mbaya, kudhulumu wengine, kutesa wengine, kuua wengine, kusingizia wengine uongo na kuwafanya waathirike na kuteseka, kuiba mali za wengine, wanaooua vibaka kwa kuiba kuku au simu, tukumbuke yote watayalipa hapa hapa duniani, mwisho wao ni mbaya sana sana. Tubadilike tabia na tuwe wanadamu halisi, la sivyo kifo cha aibu hakitakwepeka.
SAFI SANA NATO HUYU JAMAA ALIKUWA DIKTETA!!!KUFILIA MBALI
ReplyDeleteSaddam Husein...then Osama Bin Laden...then Muammar Gaddafi..then...who is next and why??? RIP Gaddafi ingawa na wewe ulichemsha kututumia majeshi wakati wa vita ya kagera...ila hukuwa mbaya kihivyo basi tu mafuta yako wanayataka na wewe unayatetea...
ReplyDeleteRIP COL GADDAFI. I'LL REMEMBER U ALWAYS.
ReplyDeleteInasikitisha sana watu humu walivyo na mawazo potofu, Ghadafi ndio aliye amuru ndege kuua watu Bengazi to retaliate for his rejection, na wewe unasema huyu mtu amefanya mema? Kweli you have a short memory.
ReplyDeleteMi siwaelewi watanzania wanaomlilia huyu jamaa. Ina maana jamaa alikuwa mzuri sana kwenu? Mbona maalbino wakiuwawa tanzania hamsemi? Marangapi watanzania wenzetu wanakufa kutokana na neglect mahospitalini, au wanapigwa na polisi mpaka umauti. mbona hamlii mpaka macho yakawavimba????!!!
ReplyDeleteSi haki kwa mtu kuuwawa na mtu mwingine lakini walibya wameamua. and thats that.
Sisi ndo maana hatuendelei tunajifanya wajuaji sana kwa yasiyotuhusu
Mi sielewi hata kidogo wale wanaomtetea huyu Dictator!!!
ReplyDeleteTatizo ni kwamba wengi wetu tuna mentality ya kuwa against anything the western world has hands in it. Kwa vile NATO wamesaidia kumwondoa then tunaona Ghadhafi was a good guy.
I don't care how much aid he has given to africans in the end his acts were inhumane and he receieved what he wished for..
RIP
NTC ni walibya waliokulia marekani. Kumuua Gadhafi wameshirikiana na NATO ambayo inaongozwa na USA. Bila NATO wasingefika po pote. Na kinachotakiwa hapo ni MAFUTA kwani Gadhafi alihakikisha yanatumika kwa faida ya Wananchi wa Libya tu. Gadhafi alijiona Mwafrika zaidi kuliko hawa NTC ambao wnajiona ni Waarabu zaidi kuliko Waafrika na hatua yao ya kwanza imekuwa ni kuwaua watu weusi. WANANCHI WA LIBYA WATAJUTA KAMA WANAVYOJUTA WANANCHI WA IRAQ. MWENYEZI MUNGU AMWANGAZIE MWANGA WA MILELE NA APUMZIKE KWA AMANI, AMEN.
ReplyDeleteMbuyu umeanguka. Imebakia: miembe, mipera, midizi, miwa, michongoma, mipapai nk
ReplyDeleteThe Legend Lives on!!!! Rest In Peace Soldier!!!
ReplyDeleteMungu akuweke mahali pema peponi. Amina.
ReplyDeleteLibya, Libya! Mtamkumbuka sana bwana huyu. Tunajua hakuna mwanadamu asiye na kasoro. Wote sisi kila mmoja anayo. Lakini alisaidia sana watu wake, elimu bure, matibabu bora bure, ukioa unapewa nyumba, gari na mtaji wa maisha. ukisoma nje ya nchi unalipiwa, kila mwezi unapewa dola 2500, na usafiri (Gari). Nchi haina madeni hata shilingi, wanajitosheleza kwa chakula na mafuta. Hakuna kuomba omba. Zaidi ya kusaidia nchi nyingi za kiafrika. Looo! Ni pigo. WAMEREKANI WANATAMANI WANGEKUWA HIVYO. WANATAMANI MAFUTA NA UTAJIRI WA LIBYA! NA WAMEFANIKIWA LOO! MWENZAKO AKINYOLEWA NAWE TIA MAJI. WHAT NEXT........................?
Inna lillah wainna Illah Rajiun
ReplyDeleteMungu mraham kiubme wako mpunguzie adhabu ya kabri umsamehe makosa yake. Walibia subirini mtamkumbuka kiumbe huyo na vinywa vyenu vitamka kuwa alikuwa kiongozi mwenye kuwapenda watu wake.
Inna lillah wainna Illah Rajiun
ReplyDeleteMungu mraham kiubme wako mpunguzie adhabu ya kabri umsamehe makosa yake. Walibia subirini mtamkumbuka kiumbe huyo na vinywa vyenu vitamka kuwa alikuwa kiongozi mwenye kuwapenda watu wake.
hata mkisherehekea kifo chake, mafuta ya libya hayaji tz yanakwenda kwa waliyowakopesha NTC silaha.
ReplyDeletehasara ni kwamba gadafi alishatupiga jeki, je NTC watafanya hivyo.
Kama vile mubaraka alivyokuwa msaada kwa waisraeli, hawaipendi democrasia ya misri kwani itawadhuru.
kwa maana hiyo si kweli kuwa kila siku demokrasia ni nzuri.
Mugabe ne Omary el bashir kaeni mkao wa kula au mpime upepo mapema yasije yakawakuta kama yaliyowakuta saddam,osama na ghadafi
ReplyDeleteIt is very sad to die in such a way... May the Almighty God rest his soul in Eternal Peace.
ReplyDeleteNext ni kale kajamaa ka Iran, watatafuta tuu jinsi ya kumuangusha pamoja na kwamba anawaumiza vichwa.
ReplyDeleteHawa wamarekani washenzi kabisa. Ndio maana Mungu anawashushia ma natural calamities kila leo.
RIP Col. Gaddafi.
I hate Americans.
ReplyDeleteRIP Gaddafi
Hiki ni kitendo cha kusikitisha. Nitamkumbuka Gaddafi kwa mchango wake kwa vyama vya ukombozi Afrika (hasa ANC, SWAPO, FRELIMO na ZAPU na ZANU.) na kupiga marufuku utumwa Libya 1969. RIP brother.
ReplyDeleteJambo la Msingi ni Moja tu. Nchi si mail ya mtu mmoja. Hata kama atawajengea nchi na kuwalisha chakula na kugawa pesa bure. Nchi ni Jamuhuri, manake ni kwamba viongozi wake wanachaguliwa. Jamuhuri ni kinyume na ufalme.
ReplyDeleteGhadafi hakuwa mfalme lakini aling'angania madaraka.
Hatufurahii kifo cha mtu yeyote lakini vifo vingine ni kujitakia.
Angeenda kushishi kokote duniani asingeuawa
RIP MY COMRADE!!! THEY ALSO GONNA DIE ONE DAY!! AS LONG AS THEIR ARE HUMAN BEING LIKE ME AND YOU MY DEAR COMRADE. THEY KILL MY GADDAFI THOUSANDS OF GADDAFFI WILL COME!
ReplyDeleteKWA KWELI NINA HASIRA NA WAMAREKANI NA WASHIRIKA WAKE, NA ASUBUHI HII NIMECHOMA MOTO VYANDARUA VYAO VYOTE WANAVYOJIDAI KUTUSAIDIA ETI KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI! KUPUNGUZA MACHUNGU NILIONAYO .WANAFIKI WAKUBWA AND I HATE THEM ALL!
ANY WAY REST IN PEACE MA MAN - YOU ARE THE HERO!!! WAMEKUUWA LAKINI NAWE KICHAPO UMEWAPA, HAWAJAKUTOA KIRAHISI.
Huu ni unyama ambao Africa inabidi kuungana kuupinga kwa kutorudia makosa ya Gadafi
ReplyDeleteMungu ailaze pema peponi roho ya Col gadafii. Sikushangai Mdau kutoka USA kwani hata hapo ulipo najua ushakana uafrika.
ReplyDeleteNdugu Ben na wale wote mnao furahia kifo cha Moammar, D.nakusema alisaidia majeshi ya Uganda kipindi cha nduli Amini. Inashangaza sana kuona mnaendeleza siasa za chuki za miaka hiyo. Ingelikuwa ni hivyo basi Tusingelikuwa na ofisi za ubalozi wa libya hapa kwetu. kumbukeni kuna nafasi nyingi za masomo ambazo baazi ya Watanzania wenzetu walipewa ufadhili na serikali ya Gaddafi. Mbona hayo hamyaoni? mnanga'ngania mabaya tu amakweli shukrani ya punda ni mateke. bado Nasisi tiza Gaddafi alikuwa mtu wa msimamo mkali zidi ya mataifa ambayo yanapenda kudectate mataifa yanayo endelea. Naamini kabisa kwa sala zetu sisi tunao sikitika Mungu atamsamehe mapungufu yake aliyo yatenda alipokuwa hapa duniani. kwaheri Gadafi hakika wewe ni shujaa wa kalnel
ReplyDeleteKwa kweli huyu jamaa alikua na kasoro zake. ila mwananchi wa libya watateseka sana na wawe macho na hao wanao wachochea madhara yake ni makubwa sana.
ReplyDeleteImekuaje huyu jamaa wakamkamata mapema hivyo ndani ya miezi nane tu wameshamuua. kama angejua angelipua kile kisiwa cha mafuta akaondokea mbali zaidi wamarekani ndicho wanachokitafuta ila walibya kazi mnayo mtakua ombaomba kawa nchi nyingine.
ReplyDeleteNajua kitu mlichokichukia walibya kuhusu huyu jamaa alivyowaambia mzae watoto wawili na nyie mnataka kujaza nchi.
ReplyDeletePamoja na mabaya yake yote,yaliyofuta mazuri yote hakustahili kufa namna hiyo. Ubaya haulipwi ubaya.
ReplyDeleteHivi kweli walibya hamkumbuki japo jema aliliwafanyia mtu huyo ama kweli mwanadamu habebeki .
Mtajuta na baada ya miaka michache hakutakuwa na chi Libya bali nchi ya sirte, Tripoli, Benghazi n.k ngoja tu
RIP commander,
sijakokotoa lakn hadi sasa kama ingekuwa ni kufaulu basi kanali Gaddafi keshafaulu kwa kuangalia wingi wa maoni yanayomsapoti dhidi ya yale yanayompinga...nakubaliana na mdau mmoja alisema kuwa kuna watu yaani sijui utawaweka katika kundi gani maana ni zaidi ya wapumbavu....i hate AMERICAN...I HATE YOU AMERICAN LAANATUL LLAH...INCLUDING ALL YOUR SUPPORTERS!...Gaddafi kauawa na wapuuzi, wapumbavu, washenzi, wahuni, vibaka, magaidi,n.k wachache ambao wanatumiwa na mataifa malafi kwa vile yanataka mali ya libya.lakini wananchi wa libya watamkumbuka Gaddafi maana majuto cku zote huwa ni mjukuu...niwakumbushe ndugu zangu waTZ kuwa pengine sisi tusiwe na wasiwasi saana maana tayari wanachukua mali yetu bila pingamizi yoyote, kwa hiyo hawana sababu ya kutupiga...kwa wale wanaokataza mali yao ndio wakae chonjo...NAUMIA SANA MOYONI...SADDAM, OSAMA, GADDAFI...EEE MUNGU TUHURUMIE...waangamize hao wamarekani na wenzao kwa vimbunga,matetemeko, upepo mkali n.k...RIP col.GADDAFI
ReplyDeletehnt
KADDAFI KAFA LAKINI MAKADDAFI HAWAJAFA KWA HIYO HIYI KESI BADO INAENDELEA ( TO BE CONTINUED....)NA MIFANO IPO YA KESI KAMA HIZI. MWENYENZI MUNGU AMSAMEHE MAZAMBI NA AMLAZE MAHALI PEMA YAKE. KADDAFI AMEKUFA CHANAUMME, SIO TU UNAKUBALI KUTOA NCHII KIRAHISI KWA HAWA MAKABURU. MDAU TOKA BUJA
ReplyDeletekweli wamarekani wantaka kuitawala libya na walimshindwa Gadafi ila walibia mtakua ombaomba sana *6 na mtajuta sana. hebu fikirieni jinsi huyu jamaa alivyokua makini katika vikao na wamarekani na nchi nyingine kwa sababu alikua anajua nn? walichokua wanakitaka ktk nchi yake. kweli kwa Tz wakileta mambo kama haya tunalipua nchi tufe wote pumbafu*2 hatutaki marekani wa wamarekani. atutawale watuache na siasa zetu changa. MUNGU MBARIKI Mw. JULIUS KAMBARAGE NYERERE na siku wakiigeuza hii nchi awatokee ila tunaamini CHADEMA watatuokoa sisi WATANZANIA AMINA.
ReplyDeleteinauma sana na kusikitisha kuona nchi za kiafrica ziko kimya kuzalilishwa kwa king of kings of african kweli jamaa alikuwa na matatizo yako ila yalikuwa kwa sababu hataki kutawaliwa kama tunavyo tawaliwa sisi hapa tz usa/uk/France ni wanyama tu na hao ntc ni watumwa tu poleni sana walibiya mtajuta muda sio mrefu kwa kididi gardaf kajiandaa sana kajenga miskiti ya kutosha kwa maisha yake alokaa dunia na mwenyezi mungu atamsamehe mazambi yake
ReplyDeletekaka nauliza kwa! we mtz unayesema eti gadaf dict. ebu kumbuka kidogo tu, dict. gani anayeweza kufanya aliyofanya gadaff kwa walibya na kwa waafric then ndio uongee!
ReplyDeletetena unaleta habari za vita za kagera! sasa, je wajua hasa agreement ya vita ile kati white man alivyoingia na kusababisha ndugu zetu kufa, sasa tafuta kwanza history alaf uongee hata kama nasi inatugusa kwa kiongoz wetu, maana wana diplomasia mpka leo wanasema ilikuwa ni mambo ya kukaa chini na kuongea sio shinikizo la back sorround kipindi kile, wanaojua wapo kimya ndio maana wanasema pale mwl. kidog alipotoka. sasa sikiliza we unaesema kutokana na washbrain ya western, hakuna asiyejua haya hata muheshimiwa jk.hapo anajua ila power yetu ndogo waafrika na hasa kutokana na hatuna mshikamano, je nikuulize unaweza kumu-insult baba yako leo hii kwa kuwa alikosea kitu flan kwenye malezi yako hususan kukukanya kwa vitendo aidha adhabu or fimbo or makofi, leo ukimuona mtu anampiga ukasema ni bora huyo au hapo mzee wa jirani ampige na tena jela aende!? sasa elewa ni hivi gadaff ni tofauti sana na hao mnao compare naye eti sijui sadam,osama,mugabe,museven, chavez n.k
swala la libya kiukweli mwongozo wake ulishakuwa tayari kutoka kwa waafrika wenyewe AU, then wangeshindwa ndio walipeleke un, lakini ndivyo sivyo kutokana na already under target libya ili kuokoa kiasi flan economic crisis kwa wakubwa, so wameamua tayari kufanya. kumbuka gadaff ndio aliyekuwa anaweza kusimama un na kuwaambia kinagaubaga white man tena kwa vitendo ili kuonyesha feeling ya jambo lina kera mfano. suala palestina, kutaka inchi hata moja kutoka africa kuwa ktk hiyo veto yao, kuhoji nini vigezo vya kuchagua wakati nasi vigezo tunavyo, ukizingatia tunavyo. yapo mengi sana kama hujui ndugu yangu ila usikurupuke kwa mambo ya media za white man ukaongea kitu hukijui.je kwenye ukombozi wa bara letu alishiriki vema, elimu alishiriki vema,misaada isiyo ya lazima gadaff aliifanya bila kusita, je unajua AU alikuwa aki-fund ipasavyo, hii sasa tunaona sio africa iliyopiganiwa na wazee wetu na kutaka kuiform kwa kimisingi ya kimaadili na heshma tuliyoachiwa mfan.mwl, kwame,mandela, hata bob marley alitumbia tuungane kwanza na kupendana na sio kumtoa kirahi rahisi mpiganaji kama gadaff, ama kweli hii laana! yaan hata hatukumbuki chochote kuhusu huyu jamaa! tena no strong reason za kumuuza kirahisi kiasi hiki!!!!!?????????
mdau origin.jp
Eeee, Mwenyezi Mungu. Mungu wa rehema na neema. Tafadhari tunakusihi sisi watu wako umpokee mja wako, maana amekufa kwa upendo wa kuwatetea watu wake na hata wa bara zima la Afrika. Baba utusikie.
ReplyDeleteTHE CONTINENT OF AFRICA YOU HAVE REFUSED TO UNITE! WHAT DO YOU EXPECT? Look the leading countries such as South Africa, Nigeria, all bogus!!
ReplyDelete