Mfanya usafi wa barabara katika jiji la Dar es Salaam akifanya shughuli yake hiyo mchana huu maeneo ya Ilala,Karume.Wafanya usafi wengi wa barabara wa namna hii hufanya kazi yao hiyo katika mazingira magumu kwani wao wakiwa wanaendelea na kazi hiyo ya usafi na huku magari yanakuwa yanaendelea kupita,hali ambayo ni hatari sana kwa usalama wao.
Home
Unlabelled
wafanya usafi wa barabara za jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wanunulieni vifaa vya kazi hiyo, mfano magari ya kusafisha na kuzua taka "automatic", bei yake sio kubwa, ukizingatia usalama na afya za hao wafanyakazi.
ReplyDeleteTuko katika 21century
ReplyDeleteSERIKALI lazima ibadilike,suala la kutumia watu kufanya usafi kati kati ya barabaraumepitwa na wakati,hao wafanyakazi hawako katika hali ya usalama kabisa.
serikali inunue magari ya kisasa ya kufagia barabarani,na kupiga deki au kuosha barabara badala ya kutumia nuvu nyingi za wananchi na kutokuwa na usalama katika kazi zao,na ni kazi ngumu pia hata kwa afya zao.
Serikali ilazimike kufanya hivyo kila siku,tena wakati wa usiku ndio wakati mzuri wa kufanya hivyo,kwa maeneo ya mjini pia zaid na zaidi.
Sasa na nyie nao, hiyo gari ya usafi itafanyaje kazi na foleni zote hizo bongo??
ReplyDelete