Mfanya usafi wa barabara katika jiji la Dar es Salaam akifanya shughuli yake hiyo mchana huu maeneo ya Ilala,Karume.Wafanya usafi wengi wa barabara wa namna hii hufanya kazi yao hiyo katika mazingira magumu kwani wao wakiwa wanaendelea na kazi hiyo ya usafi na huku magari yanakuwa yanaendelea kupita,hali ambayo ni hatari sana kwa usalama wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wanunulieni vifaa vya kazi hiyo, mfano magari ya kusafisha na kuzua taka "automatic", bei yake sio kubwa, ukizingatia usalama na afya za hao wafanyakazi.

    ReplyDelete
  2. Tuko katika 21century
    SERIKALI lazima ibadilike,suala la kutumia watu kufanya usafi kati kati ya barabaraumepitwa na wakati,hao wafanyakazi hawako katika hali ya usalama kabisa.

    serikali inunue magari ya kisasa ya kufagia barabarani,na kupiga deki au kuosha barabara badala ya kutumia nuvu nyingi za wananchi na kutokuwa na usalama katika kazi zao,na ni kazi ngumu pia hata kwa afya zao.

    Serikali ilazimike kufanya hivyo kila siku,tena wakati wa usiku ndio wakati mzuri wa kufanya hivyo,kwa maeneo ya mjini pia zaid na zaidi.

    ReplyDelete
  3. Sasa na nyie nao, hiyo gari ya usafi itafanyaje kazi na foleni zote hizo bongo??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...