Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah (katikati) kwa ajili ya maandalizi ya timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na mchezo wake dhidi ya Chad wa kutafuta tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika 2014. Kulia ni Ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi za TFF.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya michezo kwa ajili ya maandalizi ya timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na mchezo wake dhidi ya Chad wa kutafuta tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika 2014. Kulia ni Ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi za TFF.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula akikabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah kwa ajili ya maandalizi ya timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na mchezo wake dhidi ya Chad wa kutafuta tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika 2014. Kulia ni Ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi za TFF.
Baadi ya jezi zitakazotumiwa na timu ya Taifa "Taifa Stars" zilizokabidhiwa leo na Benki ya NMB kwa ajili ya maandalizi ya timu hiyo inayojiandaa na mchezo wake dhidi ya Chad wa kutafuta tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika 2014. Kulia ni Ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi za TFF.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...