Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoka Perth, Australia, leo Oktoba 3, 2011 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Amepokewa na viongozi kadhaa akiwemo Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Berrnand Membe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na viongozi wengine.Picha na Ikulu.
Home
Unlabelled
JK AWASILI DAR KUTOKA PERTH
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hAKO KAMZIGO NANI KASAHAU?
ReplyDelete