Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoka Perth, Australia, leo Oktoba 3, 2011 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Amepokewa na viongozi kadhaa akiwemo Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Berrnand Membe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na viongozi wengine.Picha na Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...