Wakazi wa Mkoa wa Iringa wanaofanya biashara ya uuzaji wa kinywaji maalum (pombe aina ya Ulanzi) ambayo inapendwa sana na wakazi wa mji huo,wakikokota baiskeli zao kupandisha kilima huku wakiwa wamepakia madumu yaliyoseheni pombe hiyo wakati wakitoka kuchukua katika vijiji vya jirani Iringa mjini ambako ndiko inakopatikana.
Home
Unlabelled
kinywaji maalum kwa wakazi wa mkoa wa iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ulasi munono mwe! Ndigita ndauli ndi muyenu na ihamu iyi?
ReplyDelete