MAREHEMU MZEE TUHERI RUMISHA MTUI
(30.Jan.1934 - 5.Dec.1999)
 
Leo imetimia miaka Kumi na mbili tangu ulipotutoka tarehe 5 December 1999.
Sala zetu kila siku ni kuwa Mwenyezi Mungu akuweke mikononi mwake,kitu ambacho hatuna mashaka nacho.

Unakumbukwa na wote,hasa watoto wako Conrad Mtui,Deogratius Mtui,
Edward Mtui,Francis Mtui,Grace Mtui,Hellen Mtui,Peter Mtui,Charles Mtui,Wajukuu,Ndugu, Jamaa na marfiki wote.
Mungu aendelee kuiweka Roho yako pema peponi.
Ameen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amen. Jamani alikuwa baba mwenye upendo mwingi sana alikuwa jirani yetu. Pia alifanya kazi na marehemu baba yangu.

    ReplyDelete
  2. May our Lord Jesus Christ rest his soul in eternal bliss.We are together in prayers as the Mtui family remembers Mzee Mtui-Ligate family

    ReplyDelete
  3. Apumzike kwa Amani baba Mpendwa huko aliko.-Matulanya

    ReplyDelete
  4. I am with you Mtui family in remembrance of a kind and loving Father. Lots of Love and good memories.
    Tony & Amani Mwingira

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...