MAREHEMU MZEE TUHERI RUMISHA MTUI
(30.Jan.1934 - 5.Dec.1999)
Leo imetimia miaka Kumi na mbili tangu ulipotutoka tarehe 5 December 1999.
Sala zetu kila siku ni kuwa Mwenyezi Mungu akuweke mikononi mwake,kitu ambacho hatuna mashaka nacho.
Unakumbukwa na wote,hasa watoto wako Conrad Mtui,Deogratius Mtui,
Edward Mtui,Francis Mtui,Grace Mtui,Hellen Mtui,Peter Mtui,Charles Mtui,Wajukuu,Ndugu, Jamaa na marfiki wote.
Mungu aendelee kuiweka Roho yako pema peponi.
Ameen
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amen. Jamani alikuwa baba mwenye upendo mwingi sana alikuwa jirani yetu. Pia alifanya kazi na marehemu baba yangu.
ReplyDeleteMay our Lord Jesus Christ rest his soul in eternal bliss.We are together in prayers as the Mtui family remembers Mzee Mtui-Ligate family
ReplyDeleteApumzike kwa Amani baba Mpendwa huko aliko.-Matulanya
ReplyDeleteI am with you Mtui family in remembrance of a kind and loving Father. Lots of Love and good memories.
ReplyDeleteTony & Amani Mwingira