Mdau Josina P. NCHIMBI akiwa na tabasam la furaha baada ya kulamba nondozz yake MASS COM katika Chuo Kikuu cha Tumaini - Dar es Salaam leo.
Mdau Sixmund akiwa na Mwanamawasiliano Jossina na Mtoto Haleluya katika kusherekea Digiriii ya mdau.
Watoa Digirii wa Chuo Kikuu cha Tumaini – Dar es Salaam, wakiwa tayari kuwakabidhi haki zao wahitimu wa chuo hicho.
Wanahabari wahitimu wa Chuo kikuu cha Tumaini – Dar es Salaam.
Hongera Jossi..Mtoto Haleluya jamani mmemnyima haki yake hamjatueleza ni wa nani.
ReplyDeleteDavid V
Tanzania bwana, kila mwanamke anataka kuwa mnene tu!
ReplyDeletethank you
ReplyDeleteHongera Mdogowangu Josina. David, Mtoto Haleluya ni wa Josina
ReplyDelete