Mdau Josina P. NCHIMBI akiwa na tabasam la furaha baada ya kulamba nondozz yake MASS COM katika Chuo Kikuu cha Tumaini - Dar es Salaam leo.
 Mdau Sixmund akiwa na Mwanamawasiliano Jossina na Mtoto Haleluya katika kusherekea Digiriii ya mdau.
 Watoa Digirii  wa Chuo Kikuu cha Tumaini – Dar es Salaam, wakiwa tayari kuwakabidhi haki zao wahitimu wa chuo hicho.
Wanahabari wahitimu wa Chuo kikuu cha Tumaini – Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera Jossi..Mtoto Haleluya jamani mmemnyima haki yake hamjatueleza ni wa nani.

    David V

    ReplyDelete
  2. Tanzania bwana, kila mwanamke anataka kuwa mnene tu!

    ReplyDelete
  3. Hongera Mdogowangu Josina. David, Mtoto Haleluya ni wa Josina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...