Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku madhara ya kuvuta sigara, na bado mpaka madaktari wanavuta...na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe, lakini watu wanajikuta wamefika bar, bila hata ya kujijua...hata kama asubuhi waliapa pombe basi.. Basi na hili la nyumba ndogo..kuna watu ni 'almost impossible' kuwaambia wasiwe na nyumba ndogo.....sasa iliyobaki kama watu wazima sio vibaya kufundishana 'how to do it the right way........ zifuatazo ni kanuni ukizifuata hutapata matatizo makubwa na pengine uka enjoy life kupita maelezo... 1. Nyumba ndogo LAZIMA iwe na heshima kwa mkeo na wewe mwenyewe, akileta dharau au kujifanya ana mrusha roho wife, UNAPIGA CHINI FASTA.....hii ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa mpango mzima.. kama hutaki mkeo ajue, basi iwe hivyo, na sio vinginevyo, marufuku mashindano kati ya wife na nyumba ndogo...bora zaidi wasijuane wala kukutana kwenye shughuli zao... 2. Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma nyumbani au kwa wife...ikiwezekana huduma ziongezeke home, ili 'wasihisi' chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu ukishindwa kipato basi jitahidi, chakula cha usiku.....but ukiweza vyote bora zaidi... 3. Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha yeye ni bora zaidi hata kama 'amekukoleza kupita maelezo' hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo na yeye achukue nafasi, hata kama ni hivyo..usioneshe hivyo, iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo.. 4. Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi au za familia..hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo unless wewe na mkeo, mpo kwenye process ya talaka officially... akijitia kimbelembele kujitambulisha muonye au mpige chini fasta.. 5. Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto bado ya kubabaisha..ukiona nyumba ndogo ni gold digger ... unapiga chini fasta... 6. Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke...kwa njia yeyote hile, kazi ya nyumba ndogo ni kuku burudisha na kustarehe na wewe, majukumu kwa mkeo...ukifanya kosa hili, si ajabu ukajikuta na nyumba ndogo ya pili nyingine.... 7. Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika. ikiwezekana imzidi wife..ili mkeo akigundua awe mpole, ukichukua mwanamke mbovu, wife atakudharau..na asiwe 'kicheche maarufu.. utaumbuka. 8. Kwa wanaopenda kuhonga, ukihonga gari nyumba ndogo, hakikisha wife analo tayari ikibidi yawepo zaidi ya moja home, sio wife anahangaika na daladala...nyumba ndogo umeinunulia vitz.. utadharaulika kupita kiasi na wote wawili na jamii ikigundua.. 9. Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo...tafuta sifa kwa ndugu wa mkeo, ili hata zogo likitokea watakutetea.... 10. Nyumba ndogo sio wife, usilete wivu kupita kiasi, ukiona uaminifu hakuna, piga chini kimya kimya sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja...... |
Home
Unlabelled
mdau katuangushia hii hapa ukumbini;THE GUIDE UKISHAKUWA NA NYUMBA NDOGO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii kaliiiiiii. Misupu naona umechafuka wa kwetu. Tunarudi nyuma jamani tuna ishu muhimu za kujadili zaidi ya hii. Naona unataka kupoteza fikra za watu Misupu.
ReplyDeletehahaa no coment kwa kweli
ReplyDeleteNyie MIJANAJUME aliyewaroga naona ameshakufa na kuoza.......WHAT IS RUBBISH?......manina zenu!
ReplyDeleteAnkal ututake radhi dada zako....hiyo point namba 7 ni mwiba sana kwangu lol!
ReplyDeleteSafi sana.UKWELI NA UWAZI,darasa zuri sana. Nimeipenda na nimei-print kwa ajali ya wadue wangu wengine.Libeneke la mpango wa kando (nyumba ndogo) oooye!
ReplyDeleteMdau,
Sinza
Kwanini upate taabu yote hiyo. Unaruhusiwa kuoa mpaka wanne, wote unaweza ukawaweka nyumba moja, wakajuana na kukupenda zaidi.
ReplyDeleteKka umesahau moja, Usimpe uhuru sana nyumba ndogo ktk maisha yako. Ila umenifurahisha sana
ReplyDeleteBig up
Asante saaaana. Hizi zinaitwa 'HADIDU ZEJEA ZA MAISHA' .... lakini mwandishi kama vile 'made-in-beijing' au DIVA vile
ReplyDeleteUnapendekeza haya yawepo kwenye katiba mpya?
ReplyDeleteCheaters at work. Sijuhi kama ukimwi utaisha! Miafrika ndo mlivyo!
ReplyDeleteHaya toeni na guide ya wanawake wenye vidumu; maana nasikia siku hizi ni ligi tu
hasbi allahu wa neemalwakil,lahaula walakuwata ila bilah,haram aaley wallah,anco mich sasa unaanza kutupotezea waume kabisa,hata aliyekuwa hajui namna ya kufanya sasa ndiyo unampa maelekezo kabisa kweli.inshaalah wawaoe kabisa tu ijulikane moja.
ReplyDeleteWewe mtoa mada utakufa kwa ukimwi tu wewe. Kwa hilo nina hakika....
ReplyDeleteUmesahau hizo pombe na sigara ulizotolea mifano haziuwi kama ukimwi...
Mdau ,darasa umetoa kuhusu nyumba ndogo na dondoo zake 10 kamili!.
ReplyDeleteIla kwa mtazamo wangu masharti hayo ni kiama na magumu kupita maelezo, ni bora kubaki na nyumba kubwa kuliko kuwa na nyumba ndogo!
Sasa mtoaji hapo juu wewe una mananisha ni sawa tu kuwa na nyumba ndogo kama kanuni hizo ulizojitaja hapo juu zinakamilika? Hayo waachie wenyewe waliohalalishwa kuwa na wake zaidi ya mmoja.
ReplyDeleteLakini mimi naona sio sawa hata kuweka kitu hiki kwenye blog ya jamii sio fundisho
hao wezi wenzako ungewashauri watumie kinga vile vile
ReplyDeleteHAPA KAKA UMEONGEA MIMI NAKUBALIANA NA WEWE, LAKINI TATIZO HICHO CHAKULA CHA USIKU UTATOA VIPI HATA NYUMBA KUBWA ISIJUWE?
ReplyDeleteMarriage is honourable in all, and the bed undefiled: but whoremongers and adulterers God will judge.--Hebrews 13:4
ReplyDeleteNyumba ndogo hairuhusiwi hata katika maandiko ukienda kinyume hukumu inakufuata kwa mfano watoto wa mtaani,uchangudoa,ukimwi n.k.Tufuate maandiko!
hivi nafanyaje kumfanya wife ajue nina nyumba ndogo alafu awe mpole.
ReplyDeletewe mtoa mada MAMA YAKO angekuwa nyumba ndogo ungejisikiaje?
ReplyDeletehiiiiiiiiiiiii safi sana kwani nyumba ndogo zingine vicheche sana hujiona wao sawa na nyumba kubwa sasa dawa ni hiyo 2 akileta zake kibuti fasta unatafuta nyingine ila ....ndomu MUHIMU
ReplyDeleteNyumba ndogo nayo yakuchuna wewe kama buzi na kuto vituz kwa wengine bila ya wewe kujua. Kila ukileta sura unachunwa na kudanganywa, ukiondoka wenzio wanaingia na kuogelea na nyumba ndogo!!!!! Man, kuwa muaminifu kwenye ndoa kama uwezi acha na owa unayempenda.
ReplyDeleteKatiba mpya iruhusu nyumba ndogo this is fine! Msimseme bure mdau maana kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Mbona Cameroon katoa maoni yake hamjamsema? Au hili la nyumba ndogo ni kubwa kuliko walivyotushauri Waingereza? Misupu big up hii tuition imetulia kinoma!
ReplyDeleteSasa hii mada vilevile inawezekana tukaigeuza upande wapili.Yaani namaniisha iwe upande wa mwanamke ndie mwenye nyumba ndogo.Ila inahitaji matengenezo kidogo tu kwasababu inatofautiana kidogo na mwanamke.Tena patamu hapo we acha tu kwani mnadhani nyie tu wanaume mnataka mfaidi ee basi CAMERUN haja maanisha mashoga tu ila uhuru wa nyumba ndogo kwa mwanamke.Tena basi tunavopenda kuenziwa kama malkia vile.Mwenye wivu ajinyonge na pengine waifu wako analiwa huko nje na wewe unajiona rijali mzuri.
ReplyDeleteThis is awesome maana nilikuwa najiuliza nifanyeje juu ya matatizo yangu. Ahsante sana mdau. Ki ukweli TZ au tuseme Afrika hakuna mtu asiye na nyumba ndogo labda huyo mtu arogwe kwa kupigwa limbwata. TZ mtu unalala na mke wa mtu kwa muhogo wa kuchoma na kachumbari? Umeona wapi hii? Nyumba ndogo na vibuzi lazima vitakuwepu tu, no matter what.
ReplyDeleteUJUMBE UMEFIKA, HATA KAMA HAUTAWAHUSU WATU WOTE LAKINI JAPO WENGINE UTAWASAIDIA.
ReplyDeleteHivi huu ni uzoefu wako au inakuwaje, labda ungekuwa wazi kidogo. Sikubalianai na wewe. Kwa nini unatumia jukwaa hili badala ya kueleimisha unapotosha jamii?
ReplyDeleteMimi nafikiri ni muhimu kuzingatia kuwa wanaosma globu hii ya jamii ni watu wa marika yote wakiwapo watoto. Sasa kama mtoto anakutana na ahabari kama hii kweli unamjenga au unambomoa? jamani tuwe makini
Hii imetulia....wanaume kazana ma nyumba ndogo.....wengine huafanywa mazezeta n.k. Utakuta dume zima halina hata akili ya kufikiri likishakuwa na nyumba ndogo. Kwa mkewe ni kula kulala. Hajui wanakula nini , watoto wanaishije n.k.
ReplyDeleteUkikutana na mume wa namna hii njiani akiwa kwenye gari lake utafikiri kichani mna kitu...Kumbe looooooo! wa siku nyigiiiiiiiiiii
acheni upumbavu ndo maana ni maskini wa fikra na kamwe hamuendelei, michuzi hata kama hii ni personal blog na una uhuru wa kukieka unachokipenda ila kuwa selective vilevile. najua kama haya sio mambo ya siri ila yachunge unayoyapresent kwenye jamii husika, imagine ndo mwanao anasoma haya!!!! kuna mambo mengi duniani ya kudiscuss badala ya kupromote anasa na mambo yasiyo na msingi. Haya kayapostini ukooo mavyumbani kwenu sio kwenye public kama hivi. GROW UP MEN!!!
ReplyDeletepoint namba saba kaka ankal nomaaa! ila kwanini upate tabu? unaambiwa oeni katika wanawake muwapendao! wawili, watatu au wanne, na kama mtashindwa uadilifu basi oeni mmoja tu ! taabu ya nyumba ndogo ! hakuna dhambi kama zinaa jamani tuache zinaa ni uchafu na adhabu yake ni kubwa! ndio maana wa africa tukaletewa HIV ! ni adhabu kali kutoka kwa ALLAh Subhana wa Taala ! shauri yenu msoweza kulinda tupu zenu kwa wasiokuwa haramu kwenu!
ReplyDeleteBasi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, UASHERATI, Uchafu, Ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo; katika hayo NAWAAMBIA MAPEMA. Kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU.” (Wagalatia 5:9-21).
ReplyDeleteNdugu zangu BWANA YESU KRISTO anarudi tutubu,tusikilize sauti zinazituonya tusije tukawa kama watu wakati wa NUHU na wakati wa sodoma na gomora walioonywa juu ya hasira ya MUNGU iliyokuwa inakuja kutokana na maovu yao lakini wakawa wabishi kusikia, Bado nafasi ingalipo amua leo kwa kuwa YESU anarudi upesi,
Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia.
11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.
12 Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
13 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.
14 Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.
15 Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya (UFUNUO 22:10-15), unachotakiwa ni kuamini moyoni juu ya kazi aliyoifanya YESU msalabani na kutubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha kabisa.ukifanya hivyo Mungu ni mwaminifu atakusamehe na kukupa uwezo wa kushinda dhambi zote na tamaa za kidunia ukishafanya hivyo hakikisha unatafuta kanisa linahubiri wokovu ili uzidi kusafishwa na kukua katika kumjua MUNGU kupitia mafundisho ya neno la MUNGU. Kw a wewe ambaye unataka kuokoka sasa hivi fuatisha maneno haya, " Bwana YESU, hakika mimi ni mwenye dhambi, nisamhehe dhambi zangu zote ,lifute jina langu katika vitabu vya hukumu na liandike katika kitabu cha uzima, nisafishe kabisa kwa damu yako, nipe uwezo wa kushinda dhambi, asante kwa kuniokoa, katika jina la YESU,AMEN". Hongera baada ya kufuatisha maneno haya, umeshaokoka, tendo hili linafanyika kwa imani tu si kwa kuona, kama ambavyo MUNGU hatumuoni lakini tunajua kuwa yupo, kwa macho unaweza ukajiona kama ni mtu yule yule lakini wewe ni kiumbe kipya kabisa.