Bwana Harusi Maududi Tingwa na Bi. Saada Ikene wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka leo.
Maharusi wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao leo.
Bwana Harusi,Maududi Tingwa (katikati) akiongoza kusoma dua mbele ya mkewe na kadamnasi mara tu baada ya kumeremeta leo.
Bwana Harusi Maududi Tingwa (kulia) akiwa ameshikwa mkoni na Maalim Bakari wakati wa kufungiswa ndoa katika msikiti uliopo Sinza Madukani leo.
Maharusi wakiwa na ndugu,jamaa na marafiki waliohudhulia hafla ya ndoa yao hiyo katika ukumi wa la Al-Hilal jijini Dar es Salaam leo


kwa picha zaidi za hafla hii,bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Maashallah mwenyezi mungu aiongowe na aijaze barka harusi hii na awape wepezi wamambo yao, awafungulie njia zakupta riski za kheri na awajaalie kizazi chema amin

    harusi imependeza sana na nawapeni HONGERA sana maharusi na nawatakieni EID njema ishallah...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...