Bwana Harusi Maududi Tingwa na Bi. Saada Ikene wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka leo.

Bwana Harusi,Maududi Tingwa (katikati) akiongoza kusoma dua mbele ya mkewe na kadamnasi mara tu baada ya kumeremeta leo.
Bwana Harusi Maududi Tingwa (kulia) akiwa ameshikwa mkoni na Maalim Bakari wakati wa kufungiswa ndoa katika msikiti uliopo Sinza Madukani leo.
Maharusi wakiwa na ndugu,jamaa na marafiki waliohudhulia hafla ya ndoa yao hiyo katika ukumi wa la Al-Hilal jijini Dar es Salaam leo
kwa picha zaidi za hafla hii,bofya hapa

Maharusi wakiwa na ndugu,jamaa na marafiki waliohudhulia hafla ya ndoa yao hiyo katika ukumi wa la Al-Hilal jijini Dar es Salaam leo
kwa picha zaidi za hafla hii,bofya hapa
Maashallah mwenyezi mungu aiongowe na aijaze barka harusi hii na awape wepezi wamambo yao, awafungulie njia zakupta riski za kheri na awajaalie kizazi chema amin
ReplyDeleteharusi imependeza sana na nawapeni HONGERA sana maharusi na nawatakieni EID njema ishallah...