mdau Omar Suleiman Mohammed akiwa katika pozz mara baada ya kula nondozz yake tarehe 16/11/11 kwenye Chuo Kikuu cha University of Bedfordshire (UK) ambapo alitunukiwa rasmi shahada ya Degree (BA) with Honours in Travel & Tourism Luton jimbo la Bedfordshire.
mdau Omar Suleiman Mohammed akiwa na Muhitimu Mwenzake.
mdau Omar Suleiman Mohammed akiwa kwenye picha ya pamoja na wenzake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hongera kijana unaonyesha hukuchakachua degree yako

    ReplyDelete
  2. Michuzi mhhhh!! "katika chuo kikuu cha University of Bedfordshire"
    Hii ni noma.

    ReplyDelete
  3. nduguyangu mwenzetu utakuwa umesoma sio sisi hapa kila siku tunagoma na tumekalia kuandamana tu na ushawishi tunaopewa na chadema unatuponza hasa sisi watoto wa masikini hatuna jinsi kukataa tunashindwa tunalazimishwa

    ReplyDelete
  4. hongera bwana omar

    ReplyDelete
  5. hongera bab ommy nisalimie thania,nakutakia kila lakheir.
    said
    southend

    ReplyDelete
  6. hongera muddy,umesoma chuo kinachoheshimika dunia nzima.sie wenzio hajujamaliza mpaka leo ni migomo tu.aaahhh nakutamani sana. ningekuwa na pesa ningetafuta chuo hicho bongo ni longolongo kibao.
    mate wako adam

    ReplyDelete
  7. Wewe namba mbili inaonekana ni mgeni kwenye hii blog..je ukiambiwa GREEN VEST YA KIJANI utasemaje?au ukiambiwa naelekea mtaa wa Nkrumah street si ndiyo utachanganyikiwa kabisa?Hiyo ni lugha za kuleta burudani kwenye blog,ndiyo maana umeiona haraka

    David V

    ReplyDelete
  8. HONGERA,HUYO KULIA KWAKO SHEMEJI NINI? usijilipue rudi ulitumikie taifa

    ReplyDelete
  9. ebwana nawashukuru wote kwa comments zenu juu ya shahada yangu hii, pia naguswa sana na wananchi wenzangu kwa njia moja au nyengine wanapokutwa na matokeo tofauti ya migomo shuleni huko tanzania iwe ya utashi wa kisiasa au kimaslahi ya kijanafunzi. ushauri wangu kwao ni kua "kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi" just pull up your socks the time will come then only time will tell.
    omar suleiman,uk (omikattah@gmail.com)

    ReplyDelete
  10. Ndio baba limo mwenyewe, noti mpya tupu faza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...