mdau Omar Suleiman Mohammed akiwa katika pozz mara baada ya kula nondozz yake tarehe 16/11/11 kwenye Chuo Kikuu cha University of Bedfordshire (UK) ambapo alitunukiwa rasmi shahada ya Degree (BA) with Honours in Travel & Tourism Luton jimbo la Bedfordshire.
mdau Omar Suleiman Mohammed akiwa na Muhitimu Mwenzake.
mdau Omar Suleiman Mohammed akiwa kwenye picha ya pamoja na wenzake.
hongera kijana unaonyesha hukuchakachua degree yako
ReplyDeleteMichuzi mhhhh!! "katika chuo kikuu cha University of Bedfordshire"
ReplyDeleteHii ni noma.
nduguyangu mwenzetu utakuwa umesoma sio sisi hapa kila siku tunagoma na tumekalia kuandamana tu na ushawishi tunaopewa na chadema unatuponza hasa sisi watoto wa masikini hatuna jinsi kukataa tunashindwa tunalazimishwa
ReplyDeletehongera bwana omar
ReplyDeletehongera bab ommy nisalimie thania,nakutakia kila lakheir.
ReplyDeletesaid
southend
hongera muddy,umesoma chuo kinachoheshimika dunia nzima.sie wenzio hajujamaliza mpaka leo ni migomo tu.aaahhh nakutamani sana. ningekuwa na pesa ningetafuta chuo hicho bongo ni longolongo kibao.
ReplyDeletemate wako adam
Wewe namba mbili inaonekana ni mgeni kwenye hii blog..je ukiambiwa GREEN VEST YA KIJANI utasemaje?au ukiambiwa naelekea mtaa wa Nkrumah street si ndiyo utachanganyikiwa kabisa?Hiyo ni lugha za kuleta burudani kwenye blog,ndiyo maana umeiona haraka
ReplyDeleteDavid V
HONGERA,HUYO KULIA KWAKO SHEMEJI NINI? usijilipue rudi ulitumikie taifa
ReplyDeleteebwana nawashukuru wote kwa comments zenu juu ya shahada yangu hii, pia naguswa sana na wananchi wenzangu kwa njia moja au nyengine wanapokutwa na matokeo tofauti ya migomo shuleni huko tanzania iwe ya utashi wa kisiasa au kimaslahi ya kijanafunzi. ushauri wangu kwao ni kua "kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi" just pull up your socks the time will come then only time will tell.
ReplyDeleteomar suleiman,uk (omikattah@gmail.com)
Ndio baba limo mwenyewe, noti mpya tupu faza.
ReplyDelete