Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (wa kwanza kushoto) akifuatana na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mgeni Baruani, wakiliangalia lori lililoanguka juzi usiku katika barabara ya Morogoro- Dodoma na picha nyingine (kwa mbaali kule) Mkuu wa Mkoa huyo akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa Lori hilo lenye namba za usajili T 838 BTY na Tella namba T 215 BTE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wema sana Mheshimiwa Joel Bendera....Hii ni mara ya kwanza kuonekana kwa mwanasiasa akijitokelea ku inspect hiyo ajali....endelea ukagauzi way bwana bender...asante sana...

    ReplyDelete
  2. Mhn...eti LIMEANGUKA....Mzigo wote naona umeshachukuliwa na wahusika wakuu....yangu macho.....Insurance companies kazi mnayo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...