Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (wa kwanza kushoto) akifuatana na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mgeni Baruani, wakiliangalia lori lililoanguka juzi usiku katika barabara ya Morogoro- Dodoma na picha nyingine (kwa mbaali kule) Mkuu wa Mkoa huyo akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa Lori hilo lenye namba za usajili T 838 BTY na Tella namba T 215 BTE.
Home
Unlabelled
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atembelea sehemu iliyotokea ajali la lori
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wema sana Mheshimiwa Joel Bendera....Hii ni mara ya kwanza kuonekana kwa mwanasiasa akijitokelea ku inspect hiyo ajali....endelea ukagauzi way bwana bender...asante sana...
ReplyDeleteMhn...eti LIMEANGUKA....Mzigo wote naona umeshachukuliwa na wahusika wakuu....yangu macho.....Insurance companies kazi mnayo!
ReplyDelete