Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hatuna muda wa kupoteza kusikiliza sauti za watu. Tukisikia tutapata faida gani?

    ReplyDelete
  2. jamaa anakipaji sana

    ReplyDelete
  3. comedy za kibongo zote ni zakuiga sauti za watu ! ahahha thats what we are good at !lol

    ReplyDelete
  4. hahaaaaa nimecheka mie.. kIngwendu

    ReplyDelete
  5. kama huna muda mdau endelea na shughuli zako, hujalazimishwa kusikiliza, eboo!!
    Tunahitaji entertainer wa kila aina tofautitofauti, hawa na wengine.

    ReplyDelete
  6. huyu mtu kanifurahisha sana,ila Nyerere hampatii kwa sauti vitendo kapatia,na Mkapa kampatia sauti kama yeye kabisa,,yuko poa anasitahili pongezi,,inaonyesha watoto kawachunguza sana,,kawapatia kweli kweli,,,Sauti ya baba wa Taifa huwa anaiweza Steve Nyerere,,,au yule kijana aliyekuwa ITV kisha akawa na akina masanja,,Ahlam UK

    ReplyDelete
  7. acha zako wewe wa mwanzo mtoa maoni huyu jamaa ana kipaji sana wapi nitapata zaidi video zake amewapatia kila kitu ana kipaji sana KENYA wanafanya hivi mara kwa mara

    ReplyDelete
  8. Huyo anonymous wa kwanza mchonganishi sana. Kwa nini anawawekea watu maneno mdomoni? We sema "sina muda" na sio "hatuna muda". Kwani hiyo message mnaandika watu wangapi?

    ReplyDelete
  9. duh watu wengine!!! wewe anony wa kwanza unaonekana ni hasidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...