Home
Unlabelled
msikilizeni huyu jamaa anaeigiza sauti za watu mbali mbali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hatuna muda wa kupoteza kusikiliza sauti za watu. Tukisikia tutapata faida gani?
ReplyDeletejamaa anakipaji sana
ReplyDeletecomedy za kibongo zote ni zakuiga sauti za watu ! ahahha thats what we are good at !lol
ReplyDeletehahaaaaa nimecheka mie.. kIngwendu
ReplyDeletekama huna muda mdau endelea na shughuli zako, hujalazimishwa kusikiliza, eboo!!
ReplyDeleteTunahitaji entertainer wa kila aina tofautitofauti, hawa na wengine.
huyu mtu kanifurahisha sana,ila Nyerere hampatii kwa sauti vitendo kapatia,na Mkapa kampatia sauti kama yeye kabisa,,yuko poa anasitahili pongezi,,inaonyesha watoto kawachunguza sana,,kawapatia kweli kweli,,,Sauti ya baba wa Taifa huwa anaiweza Steve Nyerere,,,au yule kijana aliyekuwa ITV kisha akawa na akina masanja,,Ahlam UK
ReplyDeleteacha zako wewe wa mwanzo mtoa maoni huyu jamaa ana kipaji sana wapi nitapata zaidi video zake amewapatia kila kitu ana kipaji sana KENYA wanafanya hivi mara kwa mara
ReplyDeleteHuyo anonymous wa kwanza mchonganishi sana. Kwa nini anawawekea watu maneno mdomoni? We sema "sina muda" na sio "hatuna muda". Kwani hiyo message mnaandika watu wangapi?
ReplyDeleteduh watu wengine!!! wewe anony wa kwanza unaonekana ni hasidi.
ReplyDelete