Mlinzi wa timu ya Simba, Omari Kheri (kushoto) akichuana na beki wa JKT Oljoro, Deyun Seif katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya mashindano ya timu za Vijana uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...