Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe wakati akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya Dodoma - Mayamaya kwenye eneo la Miyuji Novemba 12, 2011. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya Dodoma - Mayamaya kwenye eneo la Miyuji Novemba 12, 2011. Wanne kushoto ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu na Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Kwenye barabara serikali inajitahidi kwakweli,ingawa tumechelewa mmo kujenga barabara..Mayamaya ndiyo wapi jamanianayefahamu please.Nilikuta ujenzi wa barabara kati ya Babati na Singida hivi majuzi..Safi sana serikali.Mnapofanya vizuri tunawapongeza,mnapokosea'tunawapasha'vile vile.
ReplyDeleteDavid V
Hongera Rehema. Mungu akupandishe juu tu. Fanya kazi kwa maadili, wewe ni mtoto wa mkulima.
ReplyDelete