Mkuu wa wilaya ya Nkasi, Joyce Mgana akimuweka alama mtoto Rajabu Wangoma, mwenye umri wa miaka mitatu na miezi minne mara baada ya kupata matone ya Vitamini A, wakati wa uzinduzi wa zoezi la Chanjo ya Surua, Polio, Minyoo na Vitamini A, uliofanyika katika kitongoji cha Mazwi mjini Sumbawanga (Picha na Peti Siyame)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. TAFADHANI NAOMNA JIBU - HAPO KWENYE TANGAZO FARE WA ATC YA DAR TO KIGOMA / TABORA KWA SHS 250,000/- NI ONE WAY AU RETURN? INAJUMUISHA TAXES? TAFADHANI NAOMBA WAONESHE WAZI WAZI KWENYE TANGAZO KAMA PRECISION AIR. WENGINE TUMEPITWA NA WAKATI KIDOGO!!

    SIONI WEBSITE YA ATC - HIVI ATC HAINA WEBSTE!?

    NI MUHIMU KUWEKA MAELEZO MUHIMU KWA MSAFIRI KWENYE TANGAZO KULIKO "VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!!"

    NAOMBA JIBU HAPA HAPA NA KUMRADHI KWA KUHARIBU MADA.

    ReplyDelete
  2. nashukuru kwa marekebisho ya tangazo. inaonekana fare inajumuisha kodi maana hilo bado halijaonyeshwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...