Mkuu wa wilaya ya Nkasi, Joyce Mgana akimuweka alama mtoto Rajabu Wangoma, mwenye umri wa miaka mitatu na miezi minne mara baada ya kupata matone ya Vitamini A, wakati wa uzinduzi wa zoezi la Chanjo ya Surua, Polio, Minyoo na Vitamini A, uliofanyika katika kitongoji cha Mazwi mjini Sumbawanga (Picha na Peti Siyame)
Home
Unlabelled
zoezi la Chanjo kwa watoto laendelea kufanyika wilayani nkasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TAFADHANI NAOMNA JIBU - HAPO KWENYE TANGAZO FARE WA ATC YA DAR TO KIGOMA / TABORA KWA SHS 250,000/- NI ONE WAY AU RETURN? INAJUMUISHA TAXES? TAFADHANI NAOMBA WAONESHE WAZI WAZI KWENYE TANGAZO KAMA PRECISION AIR. WENGINE TUMEPITWA NA WAKATI KIDOGO!!
ReplyDeleteSIONI WEBSITE YA ATC - HIVI ATC HAINA WEBSTE!?
NI MUHIMU KUWEKA MAELEZO MUHIMU KWA MSAFIRI KWENYE TANGAZO KULIKO "VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!!"
NAOMBA JIBU HAPA HAPA NA KUMRADHI KWA KUHARIBU MADA.
nashukuru kwa marekebisho ya tangazo. inaonekana fare inajumuisha kodi maana hilo bado halijaonyeshwa
ReplyDelete