Mbunge wa jimbo la Rombo Joseph Selasini akitoa mada kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba kwa madiwani na viongozi mbalimbali wa chadema mkoa wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa mambo ya Bunge wa Chadema John Mrema akitoa mada kwa washiriki juu ya mswada wa marekebisho ya katika kwa viongozi wa chama hicho mkoa wa Kilimanjaro.
Mbunge wa viti maalum Lucy Owenya pamoja na katibu wa chadema wilaya ya Moshi Aquline Chuwa wakisikiliza kwa makini mada kutoka kwa makada wa chama hicho.
Mbunge wa jimbo la Moshi Philemon Ndesamburo(shoto) pamoja na mwenyekiti wa chadema manispaa ya Moshi ambaye pia ni Meya wa manispaa hiyo Jafary Michael wakisikiliza kwa makini mada kutoka kwa makada wa chama hicho.
Viongozi mbalimbali wa chadema mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia mada katioka semina.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii,Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Duuh kweli hIki chama cha kikabila viongozi wote walioonekana hapo juu ni wachaga

    ReplyDelete
  2. Zaidi ya Mada mbalimbali za Semina yao, na Ukabila wao chama kubinafsishwa na Wachagga,,,watoe mada ya ziada kwa Wanachama wao kuacha siasa za Jazba,Kiburi,Uvunjaji wa Sheria na Mabavu wajifunze siasa za kisasa na kistaarabu.

    Viongozi wenu wa Kitaifa wametafakari wakaona mwelekeo wao kisiasa hapo nyuma ulikuwa sio sahihi na juzi tu wameonana na Raisi wa nchi wamefundishwa siasa bora na za kistaarabu na kisasa na sasa wanaendelea vizuri kama unavyoona wanatoa semina za Kisiasa badala ya kufanya uchochezi wa kisiasa.

    Mwana Chadema atakaeshindwa kubadilika kimsimamo asipoteze muda ni bora akaifufue upya biashara iliyo simama muda mrefu,baada ya kujiingiza ktk siasa tokea kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka jana Oktoba 2010 arudi ktk ujasiriamali na kuwa siasa imemshinda!

    ReplyDelete
  3. Haya magwanda wajameni,,,imebaki tu filimbi begani, pingu na rungu mkononi,,,mtu akiangalia vibaya kama ni Machinga akiwa na bidhaa zake mkononi anaweza kula kona akijua ni Mgambo wa Manispaa kumbe hahaha ni mwana CHADEMA!!!

    ReplyDelete
  4. Sawa wamejirekebisha sasa CHADEMA,,, ila mwenendo wao ufuatiliwe kwa karibu kulingana na mtindo wao wa siasa za kimakundi kikabila na za ukorofi tusije tukabariki makundi ya siasa za ki uhalifu kama walivyo na mtindo wa ''magwanda na makofia'' kama kule SPAIN wale ETA magaidi wa kisiasa na watekaji nyara, na COLOMBIA wale MEDELIN COLOMBIA magaidi wa kisiasa na wauza madawa ya kulevya!

    ReplyDelete
  5. Hahahaha mziki wa ETA, jamaa ni magaidi wa kisiasa na wahalifu wapo Spain,,,wanalipua kama hawana akili vile , jamaa wanavaa ninja nyeusi ,glovu nyeusi mikononi na magwanda kama Chadema siku wakicharuka ebwanaa eee Al Shabaab na Al Qaeda ni chamtoto!

    ReplyDelete
  6. kweli wachaga noma vikao vya maandalizi ya mazishi(msiba)-bar , vikao vya harusi -bar naona na vikao vya chama chao(chadema) sasa ni bar

    ReplyDelete
  7. Mtasema sana!..na tumejipanga sawasawa kuhakikisha tunamaliza yale mawazo ya" kabila fulani hawezi kua rais au w/mkuu hapa"

    ReplyDelete
  8. Mtoa Maoni wa 7 Anonymous wa Sat Dec 10, 12:48:00 PM 2011

    Tatizo pana makabila yanaendekeza sana ukabila wao na makundi makundi hasa hao majority ya kabila la wana Chadema.

    Utakuta hawezi thamini kitu, ushauri, au mtazamo wa mtu wa kabila lingine isipokuwa lake,,, sasa huo ni upungufu.

    Wanaoleta siasa za Ukabila ,Udini,Makundi na Aina zingine za siasa zisizokubalika, HATA WAJIPANGE VIPI, WATAINGIA GHARAMA YA BURE NA MWISHO WATALAUMIANA kamwe hawaingii Ikulu ya Magogoni hadi Yesu Arudi!

    Kwa mtaji huo ndio maana kuna baadhi ya makabila itakuwa ni ndoto kupata utawala ktk nchi kama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    ReplyDelete
  9. Chadema eeeee,,,mfanye mipango na mikakati ya Ujasiriamali na biashara (KAMA UMOJA WA WACHAGGA NA SIO KAMA WANA SIASA),,,siasa imesha wakataa, mtapeana majukumu ,mtaingia gharama kubwa tu ya bure,mtaweka mikakati isiyotimizika na mwisho mtalaumiana bure!

    ReplyDelete
  10. Vikao vya CDM kufanyikia ktk ma bar inaonyesha hiki ni chama cha kilevi na wakiingia madarakani watatufilisi!!!

    Kwa kuwa mlevi daima, si mwadilifu ni mwizi na hatosheki na pesa!

    ReplyDelete
  11. Anony wote hapo juu hasoro huyu wa 12.48 wana shida upstairs

    ReplyDelete
  12. Anonymous wa 11 wa hapo juu Sat Dec 10,03:23:00PM 2011

    Ndio ninyi Wanasiasa wa makabila na makundi.

    Mikoa yenu Mbeya-Wanyakyusa na Kilimanjaro-Wachagga/Wapare ktk orodha ya waliofanya Ufisadi wengi wao ni makabila hayo.

    Halafu mnajifanya mnapiga vita Ufisadi ennh!,

    Na ndio ninyi wana CHADEMA!


    Sasa kwa mtaji huo hamuwezi pata nchi ng'o!.

    ReplyDelete
  13. CHADEMA,,,hebu angalieni msifikiri watu hawana akili.

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ina makabila 126 na wakazi 45 mil. sasa kwa mahesabu ya haraka haraka bila kujali idadi ya watu ktk kila kabila na kila kabila mwakilishi mmoja, mfano pawe na uwakilishi wa mtu 1 kwa kila kabila, mnafikiri kura yenu 1 itazidi kura 125 zilizobaki za makabila mengine???.

    Sawa wapo makabila wajumbe wao watawapigia wajumbe wa makabila mengine lakini bado ni pagumu sana hapo?

    MTAHANGAIKA SANA, MTAHANGAIKA BURE, TAFUTENI MBINU INGINE YA KUISHI NA SIO KUPITIA IKULU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...