JK akiwapongeza na kuwapa ngao washindi wa shindano la wapishi bora wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la Chuo cha Taifa cha Utalii mtaa wa Garden Avenue jirani na IFM na Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar jumamosi hii
 JK akisalimiana na wanafunzi katika Chuo cha Taifa cha Utalii
 JK akisalimiana na wanafunzi wa chuo hicho ambao wamefurahi kwa ujio wake
 JK akisalimiana na wakufunzi na wanafunzi 
 Ni furaha ilioje kupata chuo cha utalii cha taifa
 Baadhi ya wanafunzi 
JK akikata utepe na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mh Henri de Raincourt. Kushoto ni Waziri wa Utalii Mh Ezekiel Maige na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chuo hicho Bi Agnes Mziray.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi,hii inasikitisha sana,pamoja na foleni za mjini bado vyuo kama hivi vinapelekwa city centre.Shule za Minaki na Pugu zilijengwa mbali kabisa ya Ikulu ya Magogoni kwa sababu wazungu hao kwa miaka karibia mia iliyopita walishatambua hilo.Sisi tulioachiwa nchi miaka ya tisini tukajenga shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa karibu na shule ya msingi Uhuru.Inabidi tubadilike mapema.Vipi kama chuo hiki cha utalii kingejengwa Mlandizi au Chalinze?Naomba kuwakilisha

    ReplyDelete
  2. Utalii in this sense ni u-chef? Msaada tafadahali. Tuambieni kozi zinazotolewa hapo chuoni, na mtandao wao tafadhali.

    ReplyDelete
  3. mkuu tuomba kuliona jengo lenyewe, asante sana

    ReplyDelete
  4. Hivi, how do we define 'tourism' in Tanzania? And how do we distinguish 'rural' from 'urban'? Msaada tafadhali.

    ReplyDelete
  5. Mdogo wangu michuzi naona hii sasa ina sense kwa kuwa utalii ndio secta inaingizia mapato taifa kwa kiasi kikubwa ni busara kuwa na chuo cha taifa. Je chuo hiki kina toa taaluma za utalii mpaka ngazi gani? kinatofautianaje na cha Sakina Arusha au cha Tandika Dsm n Magoagoni? Pata taarifa za kutosha watoto na wajukuu wetu wanataka kusoma ambako watakuwa na uhakika wa ajira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...