Wakazi wengi wa jiji la Arusha hupenda kufika katika eneo hili la Keepletf ya Mnara wa Mwenye hasa wawapo na shughuli mbalimbali za sherehe,zikiwemo Harusi,Kipaimara na Kadhalika.pichani ni wakazi hao wakipata taswira za picha huku wengine wakiwa wamenyuti pembeni kusubiri wenzao wa malize ili na wao waingine.

Hapa ni wakubwa kwa wadogo wakipata picha toka kwa wapiga picha wao
Gari zimepaki kwenye roundabout na hakuna zengwe wala nini.
Kameraman akichukua taswira zake.
Si Mnara wa Mwenge bali ni Mnara wa Azimio la Arusha. Acha upotoshaji.
ReplyDeleteDuh huyo jamaa kabeba magudulia kakata kinoma...hapo hamna gym wala nini. kweli bongo vyokula havina fat.
ReplyDeleteYaani nikiangalia mimi leo asubuhi tu City Warden kaniwekea penalty ya £60 kwa kupaki kwenye double yellow line mtaani kwangu kwa kurudi usiku na kukosa nafasi, naona kweli Tanzania tuna amani na utulivu. Amani ya kupoteza mapato ya serikali, amani ya kuvunja sheria na kuangaliwa tu.
ReplyDeleteYaani hapa nina hasira kweli £60 inanitoka asubuhisubuhi. Ila hii ndiyo itakuwa ya mwanzo na mwisho maana sitarudia tena kosa kama hili.
Wewe Anonymous hapo unayesema jamaa kabeba magudulia kakata kinoma...hapo hamna gym wala nini. Hayo magudulia ni nondo tosha. Huyu jamaa ni kazi yake daily ndio kubeba magulia lazima atakat kinoma. Angalai wasukuma mikokoteni pia utakuta wamekata kinoma. Hayo ni mazoezi tosha. Sio kweli bongo vyakula havina fat. Vyakula vya bongo fat kinoma ndio maana unaona magonjwa ya kisukari hayaishi.
ReplyDeleteunalia nini ulilazimishwa kukaa huko? rudi kwenu.
ReplyDeleteUmepata hasara kwa kuleta ubongo kwenye nchi ya malkia, badala ya kufuata sheria unataka uonyeshe kuwa umetokea bongo.Arusha si kama Dar kila mtu anamind business yake, iga ufe
ReplyDeleteHiyo picha inavyoonekana ni mnara wenye sura ya mwenge na hauna sura ya Azimio la Arusha. Kuitwa Mnara wa mwenge ni sawa kabisa. Na Azimio hilo la Arusha Hauna shape yoyote. Ninyi ndio wale watu mnaodanganywa na viongozi wenu na kubaki kukariri kama kasuku. Mumeambiwa huo sio mwenge ni Azimio la Arusha na mumeamini na kukariri kuwa huo mnara ni Azimio la Arusha.
ReplyDelete