Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Francis Miti, (mwenye suti) akikagua gwaride rasmi la Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini Morogoro.
Gwaride kupita mbele ya jukwaa kuu kutoa heshima kwa mwendo wa haraka.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mgeni Baruani, akisoma hotuba ya mafanikio ya miaka 50 kwa Mkoa wa Morogoro, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru, Desemba 9, mwaka huu.
Mbwa wa Polisi akikabiliana na mwizi, ikiwa ni sehemu ya maonesho ya Jeshi hilo katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Vijana wa Halaiki wakionesha maumbo ya herufi ya miaka 50 ya Uhuru, kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nakumbuka wimbo wa mchakamchaka nikiwa shule ya msingi enzi zileee:

    "Mafunzo ya mgambo sio mateso, bali ni mazoezi ya viungo, usibabaikeeeee!"

    Wadau mnaikumbuka hii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...