Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dkt. Mh. Shukuru Kawambwa akihutubia wahitimu wa chuo kikuu kishiriki cha Sebastiani Koloa kilichopo SEKUCO kilichopo wilayani Lushoto Mkoani Tanga katika mahafali ya pili tangu chuo hicho kianzishwe.
Wahitimu wa chuo kikuu kishiri cha Sebastian Koloa kilichopo wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakiwa katika nyuso za furaha kwenye mahafalli ya pili tangu chuo hicho kianzishwe.
viongozi wa Serikali na dini wakiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu wa chuo kikuu kishiriki cha Sebastian Koloa Sekuko kilichopo wilayani Lushoto Mkoani Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. naomba maelekezo kuhusiana na anayeruhusiwa kuvaa kofia za PhD holders. Ni mtu yeyote anayekuwa kwenye jukwaa la wageni rasmi au?

    ReplyDelete
  2. Namuona mtu kama January Makamba. Na yeye ana PhD naona amevaa kofia ya PhD holders. Tuhabarushane maana status yake ni Mr.

    ReplyDelete
  3. Acheni maswali ya majungu. Kofia kitu gani jamani. La msingi je umeelimika baada ya kusoma na utaleta mchango gani kwa jamii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...