Mtoto wa mbunge wa jimbo la Peramiho,(Mh Jenista Mhagama), Victoria Mhagama akitoa maelezo kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha mshikamano kilichopo Peramiho Songea vijijini kabla ya kukabidhi misaada mbalimbali ikiwemo chakula na nguo kwa watoto hao,kushoto ni dada yake Levina na kulia ni binamu yake Hellen Lukuhi.
Mlezi wa kituo cha mshikamano cha peramiho songea vijijini Michaela Gama (kushoto) akikabidhi risala kwa Bi Levina Mgahama ambaye ni mtoto wa Kwanza mbunge wa jimbo la peramiho Mh Jenista Mhagama kabla ya kupokea misaada mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima wanaolelewa na kikundi hicho.
Watoto wa mbunge wa jimbo la Peramiho Mh Jenista Mhagama,Victoria mhagama,Levina mhagama na Joackim Mhagama wakikabidhi msaada wa nguo kwa mlezi wa kikundi cha mshikamano cha peramiho Bi Michaela gama kushoto, kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magmu ambao wanalelelwa na akina mama wa kikundi hicho
Watoto wa mbunge wa jimbo la peramiho Jenista mhagama, Helen Lukuhi Victoria na,Joackim wakikabidhi msaada wa mchele kwa kiongozi wa kikundi cha mshikamano cha peramiho songea vijijini Bi Michaela Gama ili uweze kuwasaidia katika maandalizi ya sikukuu ya krismas inayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii.
watoto wanaoishi katika mazingira magumu ambao wanalelewa katika kituo cha mshikamano cha Peramiho songea wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa mbunge wa jimbo la peramiho Mh,Jenista mhagama mstari wa nyum,a baada ya kupokea misaada mbalimbali ikiwemo chakula nguo za nyumbani na za shule.PICHA NA MUHIDIN AMRI WA GLOBU YA JAMII,RUVUMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi mwanangu kila nikifungua blogu naona mambo ya Ruvuma! Aksante baba aksanta sana na usengwili sanaaaa!Endeleza libeneke!
    Nataka mdumula,
    We siku ya leoooooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...