Asalaam Aleykum....
Natoa pongezi kwa Mrs Safia Kiliza kwa kula nondozzz yake ya pili (Master) Msc Organisational and Community Developmentkutoka katika chuo kikuu cha London Metropolitan University. Sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Barbican Central London - United Kingdom
Mrs Safia akiwa na familia yake baada ya kupokea shahada yake
Kutoka kushoto mwandishi wa blog ya TZ-ONE Bw. Ally Muhdin, Mrs Safia Kilizi na Chichi



Mashaallah ,Hongera sana dada Safia Kiliza!
ReplyDeleteshabani kawawa na familia yake tunatoa pongeza wa bi sophia kiliza.women can do it.
ReplyDeletehogera sana Mrs Safia kwani ni moyo wa ukakamavu unaouonyesha kwa wanawake wenzako. Kwa kuwa na mtoto mchanga na huku buku kinapigwa hii ishara tosha ya ustahamilivu wako na kujali Elimu.
ReplyDeleteHongera Bi Safia kwa kuongeza elimu. Allah azidi kukupa kheri.
ReplyDeleteMaalim Chichi nakuona hapo habib wangu.
Ma'ansha'Allah!Nimekupenda je Dada!Ulivyovaa,Familia yako ooh Allah Kareem akuzidishieni!Sijui unaishi huku UK au home?Kama ni UK ningefurahi tungefahamiana,,,,Hongera sana!,,,,Ahlam,,,UK
ReplyDeleteMashaAllah hata bint yake anatabasamu kwa mafanikio ya mama yake.
ReplyDeleteWow! That's my beautiful Auntie! Congrats! I love you my beautiful and smart auntie! May Allah bless you always!
ReplyDeleteMuaaah!!!
Ashura Mbeyu
Memphis, Tennessee
USA