Asalaam Aleykum....
Natoa pongezi kwa Mrs Safia Kiliza kwa kula nondozzz yake ya pili (Master) Msc Organisational and Community Developmentkutoka katika chuo kikuu cha London Metropolitan University. Sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Barbican Central London - United Kingdom
 Mrs Safia akiwa na familia yake baada ya kupokea shahada yake
Kutoka kushoto mwandishi wa blog ya TZ-ONE Bw. Ally Muhdin, Mrs Safia Kilizi na Chichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mashaallah ,Hongera sana dada Safia Kiliza!

    ReplyDelete
  2. shabani kawawa na familia yake tunatoa pongeza wa bi sophia kiliza.women can do it.

    ReplyDelete
  3. hogera sana Mrs Safia kwani ni moyo wa ukakamavu unaouonyesha kwa wanawake wenzako. Kwa kuwa na mtoto mchanga na huku buku kinapigwa hii ishara tosha ya ustahamilivu wako na kujali Elimu.

    ReplyDelete
  4. Hongera Bi Safia kwa kuongeza elimu. Allah azidi kukupa kheri.

    Maalim Chichi nakuona hapo habib wangu.

    ReplyDelete
  5. Ma'ansha'Allah!Nimekupenda je Dada!Ulivyovaa,Familia yako ooh Allah Kareem akuzidishieni!Sijui unaishi huku UK au home?Kama ni UK ningefurahi tungefahamiana,,,,Hongera sana!,,,,Ahlam,,,UK

    ReplyDelete
  6. MashaAllah hata bint yake anatabasamu kwa mafanikio ya mama yake.

    ReplyDelete
  7. Wow! That's my beautiful Auntie! Congrats! I love you my beautiful and smart auntie! May Allah bless you always!
    Muaaah!!!
    Ashura Mbeyu
    Memphis, Tennessee
    USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...