Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove akizungumza wakati wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda ya Afrika,Bw. Mussa Assad (Tanzania) akifafanua jambo wakati wa Mkutano uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akichangia mada wakati wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau akizungumza machache wakati akitoa shukrani kwa Waandaaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika,Washiriki wa Mkutano huo Uliokuwa umedhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. SAFI NTAUMAI JAMII ITAJALIWA VYA KUTOSHA SASA.
    NA MJOMBA ASSAD NIMUONA PALE SAFI SANAA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...