Home
Unlabelled
mpiga bongo wa FM academia ni balaa!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aah huyu chamtoto kabisa kwa yule jamaa wa twanga pepeta. Huyu wapiga kura daku wa dar tuu wote wanamshinda huyu.
ReplyDeleteKaka Michuzi wacha USHABIKI bwana.
ReplyDeleteMbona kawaida tu hapo hamna chochote cha ziada au kigeni hapo?
Wacha UNAZI bwana!
Michuzi, tehehehehe nimecheka sana, huyu jamaa ni cha mtoto mno, nakubaliana na huyo wadau hapo juu hii kawaida sana, kwamba bongos za MCD ni za anga nyingine kabisa.
ReplyDeleteMdau HK
Watu msipende kuwa na ubishi usio na sababu huyu mpiga ngoma ni mkali,mtu akifanya jambo zuri inabidi apewe sifa zake na siyo kuponda bila sababu.Huyu bwana ni mkali tupende tusipende.
ReplyDeleteJimmy Fassi,Atlanta Ga.Usa.