Marehemu Kanali Raphael Marwa Horombe
Familia ya Horombe inasikitisha kutoa taarifa ya msiba wa baba yao mpwenda Kanali Raphael Marwa Horombe  ( 25/12/1945) kilichotokea mkoani Tanga kwenye ajali ya gari Jumamosi usiku ( Tarehe 17 Desemba).
Mwili wa marehemu ulisafirishwa kwenda Dar es salaam Jumatatu. Familia, ndugu na marafiki wa familia watatoa heshima kwa maisha ya marehemu nyumbani kwa marehemu Makongo Juu, Dar es salaam na mazishi yatafanyika Tarime Jumamosi Desemba 24.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Roho ya marehemu ipumzike mahala pema peponi, Amen

    ReplyDelete
  2. je, Huyu Mzee ndo Baba Yake Chacha Horombe? If yes, Pole sana Bw. Chacha Horome, Texas, USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...