Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. aah huyu chamtoto kabisa kwa yule jamaa wa twanga pepeta. Huyu wapiga kura daku wa dar tuu wote wanamshinda huyu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi wacha USHABIKI bwana.

    Mbona kawaida tu hapo hamna chochote cha ziada au kigeni hapo?

    Wacha UNAZI bwana!

    ReplyDelete
  3. Michuzi, tehehehehe nimecheka sana, huyu jamaa ni cha mtoto mno, nakubaliana na huyo wadau hapo juu hii kawaida sana, kwamba bongos za MCD ni za anga nyingine kabisa.

    Mdau HK

    ReplyDelete
  4. Watu msipende kuwa na ubishi usio na sababu huyu mpiga ngoma ni mkali,mtu akifanya jambo zuri inabidi apewe sifa zake na siyo kuponda bila sababu.Huyu bwana ni mkali tupende tusipende.
    Jimmy Fassi,Atlanta Ga.Usa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...