Wazee ambao majina yao hayakupatikana walitia fora katika kusakata rumba kwenye hafla ya Krismas iliyofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mpanda Desemba 25, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duhh Babu mwenye Kapelo na yeboyebo za Blue ni (Mr.Blue),,,anakumbukia alipokuwa kijana mdogo kwa kulicheza kiduku, kweli Babu Kachala!.

    ReplyDelete
  2. Hii ni mbinu nzuri kiafya ya kumpa mtu maisha yaliyo na raha huru na misongo ya mawazo hasa kwa watu wazima!

    ReplyDelete
  3. Ha ha ha ha, Du! wazee noma. Hivyo viduku utafikiri wana miaka 7-8.

    ReplyDelete
  4. mzee amemechisha huyo! kuanzia kofia hadi yeboyebo!!

    Amependeza sana

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu mimi niko moshi na walasijawahi vuka mpaka wa tanzania kwenda nje ila nashukuru umeliona hili ni kwamba hali hii inatisha, tena ukute mtoa huduma mwenyewe anakufahamu kwamba wewe ni wa hapa hapa ndio kabissaaa hajigusi. kwa jambo hili mtu unaweza ukalia. MDAU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...