Home
Unlabelled
nani alisema wazee hawawezi kucheza kiduku??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duhh Babu mwenye Kapelo na yeboyebo za Blue ni (Mr.Blue),,,anakumbukia alipokuwa kijana mdogo kwa kulicheza kiduku, kweli Babu Kachala!.
ReplyDeleteHii ni mbinu nzuri kiafya ya kumpa mtu maisha yaliyo na raha huru na misongo ya mawazo hasa kwa watu wazima!
ReplyDeleteHa ha ha ha, Du! wazee noma. Hivyo viduku utafikiri wana miaka 7-8.
ReplyDeletemzee amemechisha huyo! kuanzia kofia hadi yeboyebo!!
ReplyDeleteAmependeza sana
Ndugu yangu mimi niko moshi na walasijawahi vuka mpaka wa tanzania kwenda nje ila nashukuru umeliona hili ni kwamba hali hii inatisha, tena ukute mtoa huduma mwenyewe anakufahamu kwamba wewe ni wa hapa hapa ndio kabissaaa hajigusi. kwa jambo hili mtu unaweza ukalia. MDAU
ReplyDelete