BRIGHT FUTURE TZ
PAMOJA NAURBAN PULSEWANAJUMUIKA NA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK KUWAPA POLE WATANZANIA WOTE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO YALIYOTOKEA JIJINI DARTUNAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE MUISHO UK
HAREMBEE ITAFANYIKA TAREHE 7 JANUARY 2012,
THE PIT STOP 'UWANJA WA NYUMBANI'
721 RIPPLE ROAD
BARKING
IG11 0SN
KUANZIA SAA NANE MCHANA (2PM-LATE)
UNAKARIBISHWA KULETA CHOCHOTE ULICHO NACHO UTAKACHO ONA KINAWEZA KUSAIDIA HAWA NDUGU ZETU WALIOKUMBWA NA MAAFA.
AU
KAMA KUNA MTU YOYOTE ANATAKA KUTOA MSAADA AULETE OFISINI KWETU (SERENGETI FREIGHT) NA TUTASAFIRISHA KWENDA DAR BURETUNA WAREHOUSE KUBWA ZA KUHIFADHIA MISAADA YA UKUBWA WOWOTELETE MAGODORO NGUO MASUFURIA MICHELE, SABUNI, MAFUTA, SUKARI NA N.K KILA KITU KITAPELEKWAKWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MISAADA WASILIANA NAJESTINA GEORGE 07404332910FRANK EYEMBE 07865594576BARAKA NYAMA 07816981577TUNAWASHUKURU NYOTE KWA KUJALI NDUGU ZETUContact us for more info;CHRIS LUKOSI 07903828119SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757HASSAN (RICHARD) 07405159255HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH




Asanteni sana kwa hilo na mwenyezi mungu awabarik.Lakini kuna tatizo moja kwamba wengine tunaishi mbali na huko.Na nauhakika wengi wanaweza kujitokeza na kufungasha vifurushi kadri ya uwezo wao.Sasa sijui kama mnao watu wanaokuja kutoka mikoa tofauti ili wawakusanyieni.
ReplyDeleteAsanteni wazee wa kazi ...kwa moyo mnaouonyesha nyie ni mfano wa kuigwa, tuko pamoja!!!
ReplyDeleteAnon. wa 09:32pm tunajaribu kulishugulikia hilo swala kwa kutafuta watu katika mikoa mbali mbali ambao watapokea hivyo vifurushi kwa niaba ya wasio weza kuja ili wawawakilishe. So tukiwa tayari tutawajulisha. Asanteni sana
ReplyDeleteHuyu baba Njoroge mbona ni mkenya au ndiyo hivyo matapeli kutumia waathirika kama sehemu ya kujiongezea kipato? Nia inaweza kuwa nzuri wabaya wakaifanya ionekane mbaya kutokana kale ka mchezo ka kufa kufaana.
ReplyDeleteWana TANZANIA-UK Ahsanteni kwa msaada Mwenyezi Mungu Mkuu na Mkarimu atawalipa!,,,
ReplyDeleteUUNGWANA NI VITENDO!
Mdau,
Mbagala-Mgeni nani/Mihande
Dar Es Salaam
Nyumbani Tanzania.
Mdau wa Nne hapo juu unaeuliza Baba Njoroge mbona ni Mkenya,
ReplyDeleteNani alikuambia kila unapoona Mkenya unakuwa unajenga fikra yeye ni Tapeli?
Una uhakika gani na hiyo kauli yako?
Kwani kuwa Mkenya ndio kigezo usisimamie mambo ya Watanzania?
Hujui kuwa kwa sasa tupo ktk Jumuia ya Afrika ya Mashariki na watu wa eneo letu ni kama kitu kimoja?
Hujui kuwa Ughaibuni watu wanaishi kwa mitindo mingi ikiwepo status/hali na majina ya ziada?
Ndugu acha kuwa kalaga baho, amka sasa!