WAZEE WA KAZI
WAKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT 
WAKISHIRIKIANA NA 
MISS JESTINA GEORGE BLOG 
BRIGHT FUTURE TZ 
PAMOJA NA
URBAN PULSE
WANAJUMUIKA NA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK KUWAPA POLE WATANZANIA WOTE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO YALIYOTOKEA JIJINI DAR
TUNAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE MUISHO UK
HAREMBEE ITAFANYIKA TAREHE 7 JANUARY 2012, 
THE PIT STOP 'UWANJA WA NYUMBANI'
721 RIPPLE ROAD
BARKING
IG11 0SN 
KUANZIA SAA NANE MCHANA (2PM-LATE) 
UNAKARIBISHWA KULETA CHOCHOTE ULICHO NACHO UTAKACHO ONA KINAWEZA KUSAIDIA HAWA NDUGU ZETU WALIOKUMBWA NA MAAFA. 
AU 
KAMA KUNA MTU YOYOTE ANATAKA KUTOA MSAADA AULETE OFISINI KWETU (SERENGETI FREIGHT) NA TUTASAFIRISHA KWENDA DAR BURE
TUNA WAREHOUSE KUBWA ZA KUHIFADHIA MISAADA YA UKUBWA WOWOTE
LETE MAGODORO NGUO MASUFURIA MICHELE, SABUNI, MAFUTA, SUKARI NA N.K KILA KITU KITAPELEKWA
KWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MISAADA WASILIANA NA
JESTINA GEORGE 07404332910
FRANK  EYEMBE 07865594576
BARAKA NYAMA 07816981577
TUNAWASHUKURU NYOTE KWA KUJALI NDUGU ZETU
Contact us for more info;
CHRIS LUKOSI 07903828119 
SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243
BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757
HASSAN (RICHARD) 07405159255
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Asanteni sana kwa hilo na mwenyezi mungu awabarik.Lakini kuna tatizo moja kwamba wengine tunaishi mbali na huko.Na nauhakika wengi wanaweza kujitokeza na kufungasha vifurushi kadri ya uwezo wao.Sasa sijui kama mnao watu wanaokuja kutoka mikoa tofauti ili wawakusanyieni.

    ReplyDelete
  2. Asanteni wazee wa kazi ...kwa moyo mnaouonyesha nyie ni mfano wa kuigwa, tuko pamoja!!!

    ReplyDelete
  3. Anon. wa 09:32pm tunajaribu kulishugulikia hilo swala kwa kutafuta watu katika mikoa mbali mbali ambao watapokea hivyo vifurushi kwa niaba ya wasio weza kuja ili wawawakilishe. So tukiwa tayari tutawajulisha. Asanteni sana

    ReplyDelete
  4. Huyu baba Njoroge mbona ni mkenya au ndiyo hivyo matapeli kutumia waathirika kama sehemu ya kujiongezea kipato? Nia inaweza kuwa nzuri wabaya wakaifanya ionekane mbaya kutokana kale ka mchezo ka kufa kufaana.

    ReplyDelete
  5. Wana TANZANIA-UK Ahsanteni kwa msaada Mwenyezi Mungu Mkuu na Mkarimu atawalipa!,,,

    UUNGWANA NI VITENDO!

    Mdau,

    Mbagala-Mgeni nani/Mihande
    Dar Es Salaam
    Nyumbani Tanzania.

    ReplyDelete
  6. Mdau wa Nne hapo juu unaeuliza Baba Njoroge mbona ni Mkenya,

    Nani alikuambia kila unapoona Mkenya unakuwa unajenga fikra yeye ni Tapeli?

    Una uhakika gani na hiyo kauli yako?

    Kwani kuwa Mkenya ndio kigezo usisimamie mambo ya Watanzania?

    Hujui kuwa kwa sasa tupo ktk Jumuia ya Afrika ya Mashariki na watu wa eneo letu ni kama kitu kimoja?

    Hujui kuwa Ughaibuni watu wanaishi kwa mitindo mingi ikiwepo status/hali na majina ya ziada?

    Ndugu acha kuwa kalaga baho, amka sasa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...