Waziri wa Nishati na Madini Mh William Ngeleja (kati) akipozi na Wazee wa Kazi wa Serengeti Freight Forwarders alipokuwa ziarani London, Uingereza, wikiendi ilopita. Pamoja na mambo mengine Mh Ngeleja alijionea jinsi WAZEE WA KAZI wanavyochapa kazi ya kusafirisha mizigo na magari kutoka Uingereza na kuleta Tanzania bila kelele wala mikwaruzo.
Picha na Jestina George

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa jamaa wanafanya kazi nzuri sana na wana Service nzuri sana. lakini huko Bongo waache uizi wa vitu bandarini hasa ukiweka ndani ya magari. Ni juzi tu wameniibia vitu ambavyo niliviweka ndani ya gari. Cha kushangaza ni kwamba nimelipa ushuru wa vitu ambavyo sikuvipata. Na ukipeleka barua ya malalamiko utasubiri 3 week kwa majibu na hapo ndio utakuta hata gari watachomoa vitu.
    Mdau Stockholm

    ReplyDelete
  2. nibanien lakini nimeongea ukweli kuhusu wamatangazo! may be kwa wengine, kwangu NOP!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...