Wadau wa Bilila Lodge iliyoko katika mbuga ya wanyama ya Serengeti wanatuma salamu za Krismas na Mwaka mpya kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki zao kuwatakia heri na fanaka katika sikukuu hizo. Wanasema wao sikukuu hizo watazisikia redioni tu kwani libeneke la boxi ni mtindo mmoja. Vile vile wadau hawa walio katika kitengo cha uhasibu hotelini hapo wanatoa rambirambi kwa waliopatwa na maafa ya mafuriko jijini Dar na kwengineko Tanzania. Wanawatakia nafuu waliopata majeruhi na kupotelewa na makazi na mali zao.
Home
Unlabelled
wadau wa globu ya jamii wa bilila lodge wamwaga salamu za krismas na mwaka mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



duh mnafanyaje kazi hapo wawape desk za kazi sio meza za kulia msosi
ReplyDeleteHao jamaa wa mwanzo hapo wanafanana kinoma.Lazima wawe mapacha.
ReplyDeleteAaah Bilila many greetings to Dahati!
ReplyDeleteNakuona Mzee Chikoya... aka Ngwachiii...
ReplyDelete