Dk. Dau akitiliana saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni itakayojenga daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, Shi Yuan |
![]() |
Wakibadilishana hati za mkataba huo |
Waziri wa Kazi na Ajira, Kabaka akihutubia wakati wa hafla hiyo |
![]() |
Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Abubakar Rajab, akitoa shukrani kwa Serikali |
Wakiwa katika picha ya pamoja baada kusaini mktaba |
Dk. Dau akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salalaa, Said Sadick
Waziri wa Ujenzi akijadiliana jambo na Mtangazaji wa Radio Clouds, Ephrahim Kibonde 'Mnyambala' aliyekuwa MC wa hafla hiyo
mh magufuli ni jembe wachane tu hao wanasiasa sisi hatutaki siasa ukweli zinaumiza sana taifa wanakuja na hoja zao zisizo na suluhisho kulumbana tu kila siku ukweli wana tu boa piga kazi mzee wa kazi achana nao hao
ReplyDeletehii project ikimalika itatujengea sifa Tanzania kua na daraja kama hili..wachina walijenga daraja la manzese watu wanafanyia biashara na kupiga picha sasa sijui hili likikamilika wabongo tutajisikia vipi...najua wachina hawana longo longo wao ni kazi tu ila sasa wasije wakalipua kama wanavyolipua barabara ikawa balaa..
ReplyDeletehuyu ndiye mtu tunayemhitaji,hongera mh, magurufu,tupo tayari kwa kampeni ya urais wewe ndiye mtu unayemfuata mh, kikwete mtu muhimu sana ,hongera sana tupo na wewe hatukuachi nyuma mzee wetu,bega kwa bega
ReplyDeletemimi ningeshangaa sana kama kampuni nyingine zaidi ya hii ya CREG ya kichina, ukweli kihalali ni ngumu kushindana na kampuni za kichina kwa gharama. lakini angalizo serikali na mteja (NSSF)wawe makini sana na wahakikishe wanamlipa vizuri consultant engineer wa kuwasimamia viwango vinginevyo yaweza kuwa kitimutimu. hawa jamaa wako vizuri kwenye kujenga kufuatana na muda ila wakati mwingine ni walipuaji wazuri tu haswa tukilala usingizi. lakini kwa kuwa tutakuwa na jembe maghufuli bila shaka atafanya kazi vizuri na wenye mradi (NSSF) kuhakikisha hayafanyiki yale ya barabara ya kilwa
ReplyDeleteKAZI YA DR DAU SIO MAGUFURI KAKAAA PONGEZI NI KWA DR DAU..HIYO PROJECT MAGUFURI ALIIKUTA MEZANI KABLA HAJAWA WAZARI..
ReplyDeleteHawa ndo viongozi tunaowataka ahsante sanaa mheshimiwa Dau ndiyo shirika pekee la tz ambalo linasukuma maendeleo ya taifa. Yani kila nikitazama kila kona ya maendeleo nchini ni NSSF tuu
ReplyDeleteMDAU MKELEKETWA na MZALENDO
Bigup NSSF kwa kudhamini hii project itatujengea jina sana Tanzania yani napenda sana uongozi wa Mheshimiwa Dau ndani ya NSSF mana jamaa wanajihusisha na mambo mengi saana katika maendeleo km nyumba,majengo n.k. Ni changamoto kwa taasisi nyingine kuchangia maendeleo ya nchi
ReplyDeleteMDAU UGHAIBUNI
Hongera kamanda Dr.Dau kwa utumishi wako uliotukuka.Umefanya kazi kubwa sana ndani ya Nssf.Daraja hili ni ukombozi wa Watanzania wote halina tofauti na Daraja kubwa la hapa UK la Dartford Bridge.Ni fahari kwa Tanzania yetu.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu akulinde na kila shari pamoja na maadui wasiokutakia mema.
Mdau Baba K.
London.UK
Magufuli, kama ni kushambuliwa ashambuliwe na asasi za wanaharakati. Vyama vya siasa vinavyomshambulia vinajitia kitanzi, kikiwemo cha kwake mwenyewe.
ReplyDeleteAisee mnamchelewesha Dr. Magufuli, picha kwake za nini???
ReplyDeleteHongera Dr. Dau ama kweli wewe ni mtu wa Vitendo si maneno.Nashangaa leo ni siku ya furaha kama hii wenzetu kule Jamii Forum ndio imekuwa siku ya kuishambulia Nssf.
ReplyDeleteWatu hawa ni sawa na yule bwana aliyeambiwa ukiomba kitu kizuri kwa mwenzio basi nawe Mwenyezi Mungu anakuzidishia mara mbili,yuko jamaa badala ya kuomba heri akaomba yeye atolewe jicho moja ili macho mawili ya jirani yake yatoke.masikini hakujua kuwa dua ile utatakiwa kuomba heri tu na si shari.huo ndio mwenendo wa Jf kijiwe cha kijicho na roho mbaya.
Mdau 17.
Mayfair-England.
Dr.Dau mpango Mzima.kula tano mpiganaji wetu.
ReplyDeleteChichi.
Lewisham-Uk.
Bab kubwa kwa NSSF chini ya Dr.Ramadhan Dau.
ReplyDeleteS.Kiliza
Bromley.Uk.
Pongezi kwa Dk Dau na NSSF...tumeona kazi yako katika kuinvest katika sekta nyingi tanzania..watz tujivunie na mchapa kazi huyu
ReplyDeleteJack
Mdau Glasgow
Ganda la muwa la jana.................
ReplyDeleteconcept nisiyoielewa kwenye ukamilifu wa daraja hili, ni pale watu watakapokuwa wanatakiwa kulipia ili kupita!
ReplyDeleteDr. Ramadhani K. Dau kweli kazi umeifanya!
ReplyDeleteHONGERA SAAAANA, ilikuwa ni ndoto kuwa na wazo kama la kupata Daraja la kuunganisha Kigamboni!
Lakini sasa yametimia!
Wandugu Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni,
ReplyDeleteHaya Mashirika na Mipango inayosuasua kwa nini tusiunde Timu ya Wachapa kazi, TIMU YA MAPAMBANO /KIKOSI CHA KUFA NA KUPONA kama watu majembe 5 au 10 wakishirikiana na WAANGALIZI halafu wakapewa jukumu?
-----------------------------------
MASHIRIKA NA MIPANGO:
-----------------------------------
1.MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (DART)
2.SHIRIKA LA RELI-TRL
3.TANESCO
4.MIRADI TATA YA UJENZI WA BARABARA
5.TICTS-MIZIGO BANDARINI
6.KAMATI YA MAAFA NA MAJANGA
7.ATCL-SHIRIKA LA NDEGE
8.MIGODI YOTE YA MADINI
9.MALIASLI
10.BENKI KUU
-----------------------------------
TIMU YA KUFA NA KUPONA/ KIKOSI CHA VITA:
-----------------------------------
1.JOHN P. MAGUFULI
2.DR.RAMADHANI K. DAU
3.LAZARO NYALANDU
4.PROF. MARK MWANDOSYA
5.PROF.ANNA TIBAIJUKA
6.IGP. SAIDI MWEMA
7.DR.HARRISON MWAKYEMBE
8.SAMWEL SITTA
9.NAPE NNAUYE
10.BALOZI OMBENI SEFUE
-----------------------------------
WAANGALIZI:
-----------------------------------
1.RAISI JAKAYA M. KIKWETE
2.UTAWALA WA UJERUMANI KUTIPIA UBALOZI WAKE NCHINI (KWA UANGALIZI NA UFIKIAJI MALENGO NA SIO UTAWALA)
3.UBALOZI WA USWISI
4.UBALOZI WA NORWAY
5.WANANCHI WOTE WA TANZANIA WALIO NDANI NA NJE YA NCHI KUSHIRIKISHWA KUPITIA MIDAHALO YA NJIA YA HABARI REDIO NA TELEVISHENI YA TAIFA (LIVE). KUHUSU MCHAKATO WA MATEKELEZO.
NAFIKIRI KWA MPANGILIO HUU NA TIMU HII NCHINI TANZANIA BAADA YA MIAKA MITATU MAMBO YATAKUWA MAMBO!
Mnampongeza Ramadhani Dau kwa kutumia pesa za wastaafu kujenga daraja wakati wastaafu wanasota pale ofisini kwake bila kupata pensheni zao kwa wakati unaostahili? Je hii ni investment kama inavyotakiwa kwa michango ya wafanyakazi kuwa invested ili wanapostaafu walipwe mafao mazuri bila usumbufu?
ReplyDeletePamoja na kwamba ujenzi wa hili daraja ni muhimu sana na utatusaidia sana kuepuka kero za usafiri kigamboni lakini jamani matumizi ya pesa za wastaafu siyo haya.
Hii nadhani inasababishwa na mapungufu ya fund managers kutojua majukumu yao vizuri au kutafuta umaarufu wa kisiasa tu. Nadhani anafanya maandalizi ya kuingia kwenye siasa kwa gharama ya michango ya wafanyakazi/wastaafu.
Kaika Orodha ya Majembe ya Tanzania KIKOSI CHA VITA/ KUFA NA KUPONA pana wengine wengi tu na hawa pia ni MUHIMU:
ReplyDelete1.Balozi PETER KALAGHE-UINGEREZA
2.NEHEMIA MCHECHU-NHC/ TANZANIA
Kikosi cha vita/kufa na kupona aongezwe Bi ANANILEA NKYA atatia changamoto.
ReplyDeleteMNANICHEKESHA MNAOMPA HONGERA MAGUFULI KWA LIPI KBWA ALILOFANYA, HII PROJECT ILIKUWEPO TOKEA ENZI NA ENZI ILIKUWA INASUBIRIWA TU KUPATIKANA KWA MFADHILI! HII NI PROJECT ALIOIIBUA DOKTA DAU NA SI MAGUFULI NARUDIA SIIIII MAGUFULI !!!! msimpake kilemba ,, kuna mtu amesema GANDA LA MUA LA JANA ! NI KWELI ! HII NI KAZI YA KUSIFIWA DK DAU
ReplyDeleteHONGERA SANA DOKTA DAU !
hongera Dr dau kwa kazi yako nzuri sana. utakuwa umesaidia sana watanzania kwa kutengeneza ajira na kuondoa usumbufu na kuokoa muda wa kusubiria pantoni
ReplyDeletestev- London
MICHUZI BLOG MKO BIASED, MAONI MENGI SANA YENYE UKWELI MNAYABANIA MNAOGOPA NINI? KAMA UPIGANAJI HAMUUWEZI HII KAZI ACHIENI WENGINE. KAMA NYERERE ANGEKUWA MWOGA BABA ZENU WANGEISHIA WAPI? ACHENI WOGA!!!!!
ReplyDeleteBora waharakishe daraja hilo watu tuache kupiga mbizi wakati wa kwenda Kigamboni
ReplyDeleteBILA SHAKA HUU UTAKUWA MRADI WA MUHIMU,HASA TUKIZINGATIA MIPANGO YA KUFANYA KIGAMBONI KUWA DUBAI NDOGO.
ReplyDeleteHIYO PICHA YA PAMOJA NIMEIPENDA. WENZETU WAWILI WAWILI SIE KIBAO. NGOJA GHARAMA ZA HII SHEREHE YA UTIAJI SAINI ZITAKAVYOKUWA KUBWA. KWANI DK MAGUFULI ANGEAMBATANA NA MAOFISA WAWILI NA DK DAU VILE VILE WAWILI HAINGENOGA?
sasa wewe usuielwa dhana ya kulipia daraja ni ipi wakati hata ughaibuni wanaotumia madaraja hulipia?
ReplyDeleteJEMBE LINGINE LA TANZANIA NI MWANAMAMA ENG.STELLA MANYANYA.
ReplyDeleteNITARUDI BAADAYE NA ORODHA YA MAPENDEKEZO YA BARAZA LA MAWAZIRI LA WAKINA MAMA TU. MAANA WAO HAWANA LONGOLONGO MRADI WASIINGILIWE KATIKA UTENDAJI WAO NA MIDUME YENYE UCHU.
Nawapongeza kwa maadalizi ya ujenzi wa daraja , kuna wakati wakazi wa kigamboni walikuwa wanaulizwa kwamba daraja likijengwa wapo tayari kulipia wakati wa kupita katika daraja hilo? nami nauliza je katika nchi yetu hii kuna daraja linalipiwa? au wakazi wa kigamboni siyo watanzania?, wanapesa nyingi?,au ndo warudi kijijini kama walivyoambiwa kwenye kupanda pantoni? haki sawa kwa wote ipo wapi?
ReplyDeleteJAMANI TUMECHOKA MBONA MAJINA MNAYOTOA NI WALEWALE WALIOPO MADARKANI TUNATAKA MAGEUZI.
ReplyDeleteTUNATAKA ORODHA ANGALAU YENYE MCHANGANYIKO NA MAJINA MAPYA LAKINI UTENDAJI WAO UNAELEWEKA HATA KAMA NA WACHACHE MAANA WAPO WENGI SANA KWENYE TAASISI ZETU WANAFANYA KAZI NZURI SANA HASA WANAWAKE MNAOWAJUA TUPENI MAJINA YAO JAMANI HII NI CHANGAMOTO TU LABDA ITASAIDIA.
wewe ni phd holder wa kweli kweli.hongera sana DR. dau kwa kazi hiyo na nyignine nyingi ulifanya kwa manufaa ya watanzania na tanzania. kwa kweli umesaidia kila sector muhimu. Big up DR.
ReplyDeletemax- shephard bush-London
Taarifa ya ujenzi wa daraja la Kigamboni imekuja muda muafaka. Daraja hili litasaidia kuleta maendeleo ya haraka kwa wakazi wa Kigamboni. Hongera kwa wahusika wote.
ReplyDeleteFaustine Ndugulile-Mbunge Kigamboni
Na mimi vile vile wa Iringa kusomea dua mradi huo ufanikishe
ReplyDeleteMdau hapo juu,kutokulipwa pensheni kwa wastaafu au mafao yao kwa wakati si kwamba mfuko unakuwa hauna pesa, ila wastaafu ndo wanakuwa na mapungufu katika ukamilishaji wa nyaraka,hususan za ajira au uzembe wa mwajiri kwa kutokuchangia michango ya watumishi wake,uliza wadau wa mifuko ya pensheni watakwambia,sio unaongea tu,suala la investment katika mifuko huwa ni muhimu.
ReplyDeleteHongera kaka Dau
ReplyDeleteJustina Brian
Kent-UK
I am thankful to the Almighty to witness this great moment in the History of my great Country ,Tanzania . I can almost see the future History books 100yrs from now..."The first major bridge in Tanzania was built by NSSF under the leadership of Dr. Dau" ....NSSF continues to be a catalyst in changing ,developing and shaping the way forward for a brighter Tanzania through its commitment to social& Country development in various projects. This is indeed another example of a great patriotic Organisation that NSSF is to Tanzania & Tanzanians ..Well done NSSF under your leadership, and God Bless.
ReplyDeleteKweli Nssf wameamua kufanya kweli.
ReplyDeleteBIG UP R. K. DAU.
ReplyDeleteJUHUDI ZAKO TUNAZIONA.KAMA SI WEWE THIS IDEA INGETOKA WAPI?ISSUE NI KUWA CREATIVE KWANZA THEN UFUATILIAJI.NAUNGANA NA WENGINE SI MAGUFULI WA KUPAISHWA NI JEMEDARI R.K. DAU.
NSSF ENDELEENI KUKAMUA.
KAMANDA DAU UNAFANYA TUNAONA.HATUNA LA KUKULIPA ILA TUNATAMBUA SAAAAAAAANAAA UMUHIMU WAKO NDANI YA JAMII YA KITANZANIA.
ReplyDeleteTUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUJAALIA WEWE KUZALIWA NDANI YA TANZANIA NA KUWA MTANZANIA MAANA UNAYOTUFANYIA NI MAKUBWA.HIVI UNGEKUWA MKENYA MAFANIKIO HAYA WANGEYAPATA WENZETU.LAKINI TUNASHUKURU KWA WEWE KUWA MTANZANIA NA KUFANYA KAZI KWA MAENDELEO YA TAIFA LAKO.MUNGU AKULINDE MILELE.
HONGERA SAAAAANAAAA MZEE DAU.SINA LA KUSEMA ILA MUNGU BABA AKUZIDISHIE UHAI MREFU UZIDI KUTUFANYIA MENGI.
ReplyDeleteVIONGOZI ACHENI MAKELELE YA KUTAFUTA KURA TUNATAKA WATU KAMA R. K.. DAU.
BIG UP KWA Dr. DAU NA MAISHA MEMA YENYE BARAKA.
MDAU JOHNSON.
IRINGA.
Asante DR. DAU.
ReplyDeleteNadhani anony wa tano toka juu umefurahi.
Kule kigamboni ndiko kwenye ardhi ya Mh. Kichaka, kwa hiyo daraja hilo sio kwa ajili yetu wabongo. Hata hivyo tutanufaika kwa kupita na baiskeli zetu.
ReplyDeleteHuu ndiyo ukweli ninaoomba bloger usiubanie.
Wabongo bwana. Kitu hakijakamilika wala hakijaanza kutengenezwa mnakenua mijino juuu. Hizi hadithi za kibongo nimeshazizoea, mtakuja sikia yale yale ya New Dar kigamboni na serikali kuhamia dodomya. Subirini muona vitu vimekamilika ndo mkenue meno.
ReplyDelete