Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Boko Haram must,also,go!

    David V

    ReplyDelete
  2. The fella was voted in for tribal loyalty. He didn't have the credentials for the top job in Nigeria, but the so called "southerners" thought it was an opportunity to put the stooge in power just because he was "one of them". You rip what you sow.

    ReplyDelete
  3. David..
    Nauhakika kama Nigeria watapata kiongozi mzuri mwenye kuipenda nchi na wananchi na hatokuwa mbaguzi wa ukabila au udini,basi sidhani kama kutakuwapo na hao Boko Haram.Kwasababu atawaunganisha wananchi wote na kuwa kitu kimoja na kingine muhimu ni kulinda nchi kwa uawaminifu na kuzuia "corruption"inayo wafanya wananchi kuwa masikini wakati nchi tajiri wa mafuta.Matokeo yake wanaofaidika ni "wawekezaji"kwa jina tunalolitumia hapa kwetu la kisasa.Lakini kiukweli viongozi wa Africa ni waongeaji wazuri tu ila ktk utendaji ndio matatizo.

    ReplyDelete
  4. Yaani wewe nim mchoraji bingwa

    ReplyDelete
  5. gado naku vulia kofia kwa kazi yako. hakuna mwingine wa kukushinda. huyu good for nothing wa nigeria kwa nini mjeuri hivyo. aache kuwaadhibu wananchi na mafuta yao wakati wageni na wananchi wachache ndio wanafaidi. sasa serikali iamke na kufanya mpango wa hayo mafuta kusafishwa nchini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...