Home
Unlabelled
GADO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Boko Haram must,also,go!
ReplyDeleteDavid V
The fella was voted in for tribal loyalty. He didn't have the credentials for the top job in Nigeria, but the so called "southerners" thought it was an opportunity to put the stooge in power just because he was "one of them". You rip what you sow.
ReplyDeleteDavid..
ReplyDeleteNauhakika kama Nigeria watapata kiongozi mzuri mwenye kuipenda nchi na wananchi na hatokuwa mbaguzi wa ukabila au udini,basi sidhani kama kutakuwapo na hao Boko Haram.Kwasababu atawaunganisha wananchi wote na kuwa kitu kimoja na kingine muhimu ni kulinda nchi kwa uawaminifu na kuzuia "corruption"inayo wafanya wananchi kuwa masikini wakati nchi tajiri wa mafuta.Matokeo yake wanaofaidika ni "wawekezaji"kwa jina tunalolitumia hapa kwetu la kisasa.Lakini kiukweli viongozi wa Africa ni waongeaji wazuri tu ila ktk utendaji ndio matatizo.
Yaani wewe nim mchoraji bingwa
ReplyDeletegado naku vulia kofia kwa kazi yako. hakuna mwingine wa kukushinda. huyu good for nothing wa nigeria kwa nini mjeuri hivyo. aache kuwaadhibu wananchi na mafuta yao wakati wageni na wananchi wachache ndio wanafaidi. sasa serikali iamke na kufanya mpango wa hayo mafuta kusafishwa nchini.
ReplyDelete