| CHUMBA KIMOJA KINAPANGISHWA. KIPO KATIKA ENEO LA CHANGANYIKENI DAR ES SALAAM, KARIBU NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM..KIPO KATIKA ENEO ZURI SANA. NDANI YA GETI NA USALAMA NI WA UHAKIKA . KODI NI SHILINGI ELFU AROBAINI TU ( TSHS. 40,000/=) KWA MWEZI NA UNALIPA KODI KUANZIA YA MIEZI SITA. HAUPITII KWA DALALI. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA SIMU : 0657743183 |
Home
Unlabelled
msaada tutani: Chumba kinapangishwa Changanyikeni, Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Bonde la Msimbazi linalofikia hadi Jangwani linaanzia mbali sana,,,vipi ki Jiografia eneo la nyumba yenye hicho chumba halipo katika mzingo huo hapo?
ReplyDeleteChanganyikeni kubwa na ina mitaa yake badala ya kusema kama ni Kisiwani, kwa Brigedia, kanisani au kwingineko unasema karibu na chuo kikuu, we vipi? weka tangazo vizuri, kina umeme hakina etc.
ReplyDeleteHuyu Mchungaji anaonekana ni ajenti. Sababu ya waheshimiwa wa Mjengoni kujihalalishia fungu kubwa la fedha kwa kisingizio cha ugumu wa maisha Dodoma haina mashiko. Ugumu huo wa maisha ni kwao tu? Je, mwananchi wa kawaida anayeishi Dodoma na kwa watumishi wanaokuwa kikazi mkoani humo wanatazamawaje katika kukabili hali hiyo? Tusipotoshe maandiko kwani hata huyo Mungu wetu hafurahii hali hii ya watu kuishi katika tabaka la wengine kufaidi pepo duniani na wengine wakitaabika katika nchi hiyohiyo. Kama ni kufuata maandiko; je, mfano wa tajiri na Lazaro?
ReplyDeletechumba kina kitanda? je kitanda hakipigi kelele wakati wa kuvunja sinagogi? maana wengine tuna vishindo
ReplyDelete