Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Mh. Wilson Mukama alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitoka Afrika Kusini ambako alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 100 ya chama cha ANC. Kati niu Mama Anna Mkapa.
Home
Unlabelled
Rais Mstaafu arejea toka sauzi kwenye sherehe za miaka 100 za ANC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tanzania bwana! Mungu aendelee kuibariki. Unaona Rais Kikwete hana shida na waliomtangulia. I hope this tradition continues. Jamuhuri yetu inaendelea kukomaa!
ReplyDeleteKweli kabisa. Huwezi kuona zambia au malawi wakifanya hivyo. Hata kenya hawafanyi hayo. We are unique bwana
ReplyDeleteNi kweli mdau wa kwanza hivyo ndo inavyotakiwa. ukianza kusumbua waliokutangulia labda ubadili katiba ubakie madarakani vinginevyo ukishuka tu na anayekuatia anakushughulikia ipasavyo. tuliona mfano wa Chiluba alivyojaribu kumuadhibu Mhasisi wa Taifa la zambia na yeye mwisho wake ulikuwa mbaya kwani alishughulikiwa vilivyo na aliyemfwata. utamaduni huu uendelee vinginevyo itakuwa kasheshe
ReplyDeleteAah wapi jamaa alienda kukagua miradi yake huko!!
ReplyDeletena waendelee kutumia ndege ya Rais kusafiri nayo amen....
ReplyDeleteUnamaanisha nini we mdau wa kwanza???
ReplyDeleteKwamba kuogopana na kulindana ndio utamaduni unaouunga mkono??
Kweli tunakazi kubwa kufikia maendeleo kama kuna watu wanaoweza kudhubutu kufikiri namna hiyo.
Ni aibu kubwa na hasara kubwa!
tunakukumbuka sana mheshimiwa Mkapa kwa mengi mazuri uliyoyafanya especially uchumi,i wish katiba ingekuwa inakuruhusu ugombee tena uraisi kura yangu ungepata.Mungu azidi kukulinda na kukupa afya njema
ReplyDeleteWe miss u baba, u did a lot, and still the nation is relying on you in so many things. Take us to the right direction and right choice. We remember u for so many things. Eduction, the capital city status, government employee status and the status of the people. We miss u so so much. Live longer, and be blessed.
ReplyDeleteYaani kama kungekuwa na uwezekano wa huyu bwana kugombea tena urais tungemrudisha - uchumi ni mbaya kuliko kinoma na hatuoni katika hawa wenye hatihati za kugombea urais ambaye ataweza kurudisha hali bora ya uchumi wote ni mafisadi na waroho wa kujinufaisha bila kukumbuka wananchi wakawaida na nchi yenyewe. JK nchi ameifikisha pabaya kiasi kwamba huyo anatakae chukua hii nchi inabidi awe makini kweli kweli kama alivyo kuwa Mzee Mkapa.
ReplyDeleteI like this man very executive
ReplyDeletehayo ni mambo mazuri ya mheshimiwa kikwete na hakuna mwingine maana mkisema kuwa walio madarakani kuheshimu au kuwapa nafasi waliopita hayo hayakuwa kwa mkapa
ReplyDeletemkapa hakumpa nafasi kabisa mzee wetu mwinyi na kipindi mkapa yupo madarakani mzee wetu ruksa tulimsahau kwenye media zote
maana alikuwa hahusishwi na chochote na hata kulikuwa na habari za kutendewa ubaya na huyo ben
big up mh.kikwete mtakaokuja igeni