Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya BG Group, Ofisini kwake jijini Dar es salam leo. Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mkuu, Martin Houston,Makamu wa Rais wa Kanda ya Afrika, na Asia Kusini, Sam Iskander na Meneja wa Tanzania, Matt Wilks. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
Unlabelled
Waziri Mkuu akutana na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya BG Group Ofisini kwake jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


hiyo kampuni inajishughulisha na nini? Michuzi uwe unatoa maelezo yaliyokamilika.
ReplyDeletembona wageni wamekaa kwa kujibana ?
ReplyDeletemtoto wa mkuliwa vp tena
Mdau wa juu, ilibidi wajibane kwa sababu nilitaka tutoke vizuri kwenye picha.
ReplyDeleteMdau wa kwanza, Hiyo BG group kirefu chake ni British Gas makao makuu ni Uingereza inashugulika na Uchimbaji,uzalishaji na usambazaji wa natural gas,kwa Tanzania imeanza ku operate mwaka jana (2011) uko Mtwara ambako imechukua project ya kampuni flani.Kiasi kikubwa cha Gas kimegundulika huko Mtwara ambapo uchimbaji unafanyika baharini (bahari ya hindi)..nilisha piga interview na hawa jamaa.kwa hapa bongo ofisi zao zilkuwa kwenye lile jengo opposite na Serena hotel (Sheraton zamani).Jamaaa naskia wanalipa vizuri ila sijui kama...Tanzania inafaidika vya kutosh na uwepo wao.
ReplyDelete