Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya BG Group, Ofisini kwake jijini Dar es salam leo. Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mkuu, Martin Houston,Makamu wa Rais wa Kanda ya Afrika, na Asia Kusini, Sam Iskander na Meneja wa Tanzania, Matt Wilks. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hiyo kampuni inajishughulisha na nini? Michuzi uwe unatoa maelezo yaliyokamilika.

    ReplyDelete
  2. mbona wageni wamekaa kwa kujibana ?
    mtoto wa mkuliwa vp tena

    ReplyDelete
  3. Mdau wa juu, ilibidi wajibane kwa sababu nilitaka tutoke vizuri kwenye picha.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza, Hiyo BG group kirefu chake ni British Gas makao makuu ni Uingereza inashugulika na Uchimbaji,uzalishaji na usambazaji wa natural gas,kwa Tanzania imeanza ku operate mwaka jana (2011) uko Mtwara ambako imechukua project ya kampuni flani.Kiasi kikubwa cha Gas kimegundulika huko Mtwara ambapo uchimbaji unafanyika baharini (bahari ya hindi)..nilisha piga interview na hawa jamaa.kwa hapa bongo ofisi zao zilkuwa kwenye lile jengo opposite na Serena hotel (Sheraton zamani).Jamaaa naskia wanalipa vizuri ila sijui kama...Tanzania inafaidika vya kutosh na uwepo wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...