Basi la kampuni ya Abood ya mjini Morogoro ambalo likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi wakati likiwa safarini kutokea Mkoani Morogoro kuja Dar es salaam mapema leo asubuhi.Kutokana na Mashuhuda wa ajali hiyo,wanasema chanzo cha ajali hii ni kutokana na dereve wa basi hili kutaka ku overtake gari lililokuwa mbele yake na kushindwa kufanya hivyo hali iliyomfanya dereva wa basi hili kushindwa maarifa na hatimae basi kupinduka.hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hii.
basi la abood linavyoonekana baada ya kupinduka mapema leo asubuhi.
Uzembe wa Dereva nyang'anya leseni tia ndani na faini juu!
ReplyDeleteBwana Mungu asifiwe.
ReplyDelete